Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kweli mkuu wanazingua sana,, pesa ya uwekezaji tunaitoa wapi kama mishahara hii yenyewe inakataa kabla ya tare 15.. hebu waache kutunanga wajuba
Mnaharibu uzi wetu nyie ,uzi huu ni maalum kwa tarehe za kuhaha kama bata kameza kaa la moto, tarehe za mfalme tembele na chinese tarehe ambazo ukiona mashine ya ATM unashikwa hasira mana salio empty,

Nyie mnaokuja na mambo sijui ya uwekezaji mnaharibu uzi wetu kafungueni wenu huu ni wa mshahara
 
Oooh kumbe Tarehe zimefika!!

Cc Evelyn Salt
IMG-20250522-WA0044.jpg
 
Back
Top Bottom