Kabla hata hujafikiria hilo, utakuwa umeshaoza kichwa.Uje upigwe na kitu butu kichwani.
Kabla hata hujafikiria hilo, utakuwa umeshaoza kichwa.Uje upigwe na kitu butu kichwani.
Kwamba mzigo uteme leo...sidhani ila watakua wametisha sanaOya bado?
Kwamba mzigo uteme leo...sidhani ila watakua wametisha sana
Makato tayariSidhani maana hata makato bado hayajafanyika
Weeee slip tayarMakato tayari
Makato namaanisha kwa wale wote wenye mikopo kama HESLB n.k.. mm kwangu naona Bado..Makato tayari
Sleep bado ila benki washachukua chaoWeeee slip tayar
Inakupa ujumbe gani?Mbona kuchukua mkopo inanigomea kuna ambaye ameshavuta?
Ipo sasa?,🤣Kwani salale advansi hamuijui..? Fanyeni mambo wenyewe kiganjani.
salale ikitoka wanakata ndani kwa ndani...!
Nataka kufanya topup lakini kabla sijafika kwenye kuandika kiasi ,pale tu inaponionyesha deductible amount inakuja na ujumbeInakupa ujumbe gani?
Futa amount wanayoleta column ya kwanza, then jaza column ya pili ya miezi na deductable amount ya chini yake then calculateNataka kufanya topup lakini kabla sijafika kwenye kuandika kiasi ,pale tu inaponionyesha deductible amount inakuja na ujumbe
Error 9001
Not elligible because take home amount ....... Is less than allowable take home amont tsh .......
Na hicho kiasi wanachoandika hapo ni kikubwa sana kuliko take home yangu
Not elligible because your take home ammount ...... Is less than allowable take home i.......Futa amount wanayoleta column ya kwanza, then jaza column ya pili ya miezi na deductable amount ya chini yake then calculate
PEPMIS ya mwezi upiKama ulikuwa hujaz pepmis sahau kuhusu mshahara mwezi huu ngoja uone trust me