Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,131
- 12,169
Leo ni uongo labda kama hamna nyongezaLeo wafanye maajabu ase hali tete
Leo ni uongo labda kama hamna nyongezaLeo wafanye maajabu ase hali tete
Bado na uzi mwezi huu utaishi maisha marefuMpaka sasa wengine makato bado huo mshahara mnaousubiri mnaupata wapi?
Na kumbukeni Hii July mambo ya mwaka wa fedha mpya?
Labda Moshi wa bonyokwaCRDB MOSHI NI MWEUPE WATUMISHI ANGALIENI 😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏Ila watumwa mnavitukoHazina waache masihara na mshahara aisee..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo zamu yangu umeme. Sirudi home.
Mambo ya kijinga sana haya.Hapa cha muhimu SUPERVISORS wa approve plans zetu huko PEPMIS ili wakopaji tukope mshahara utatukuta mbele huko tofauti na hapo kazi itakuwa ngumu
Basi hawaitajiki kwenye uzi wetuWatu washachota mkopo fasta😂
Vipi ongezeko ulishaliona mkuuHapa cha muhimu SUPERVISORS wa approve plans zetu huko PEPMIS ili wakopaji tukope mshahara utatukuta mbele huko tofauti na hapo kazi itakuwa ngumu
Njoo ofisiniDaaah naona wamegoma kunipandisha daraja
Mkuu hivi plans zikiwa approved tu on the spot unakua eligible kuchukua loan?Hapa cha muhimu SUPERVISORS wa approve plans zetu huko PEPMIS ili wakopaji tukope mshahara utatukuta mbele huko tofauti na hapo kazi itakuwa ngumu
YesMkuu hivi plans zikiwa approved tu on the spot unakua eligible kuchukua loan?
Unawaonea wivuBila Shaka Kuna wengine washatumia nusu ya mshahara wote hadi sasa
Mtumishi wa umma upo deep na haya mambo.Kama una mkopo, fanya kama vile unataka ku-top up mkopo utaona kiwango unachoweza kukatwa kimeongezeka na hata kiwango cha mkopo ambacho uko eligible utaona pia kimeongezeka tofauti na miezi ya nyuma yaani kuanzia mwezi wa sita kurudi nyuma.
kitu ambacho huwezi una ni ongezeko kwenye basic salary . Kwa kifupi, utaona changes kwenye kiwango cha hela unayoweza kukopea na kama ulikuwa hukopesheki yaani umefika mwisho, sasa utaona unakopesheka kutokana na hilo ongezeko.
Hata hivyo, wengine bado hawaoni mabadiliko yoyote huenda wanafanya changes kwa awamu, ila baada ya muda wote mtakuwa mmeona hayo mabadiliko.
Wanakustaafisha mkuu, ni jambo la kheriVipi ongezeko ulishaliona mkuu
Mi huku inasoma 307m 😄
Unajiuliza hawa ESS wapo sawa kweli?