mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Ya mwaka mzima si mwisho ilikuwa mwezi wa sita ss watu wana approval huko kama ulikuwa hujazi kazi ipoPEPMIS ya mwezi upi
Ya mwaka mzima si mwisho ilikuwa mwezi wa sita ss watu wana approval huko kama ulikuwa hujazi kazi ipoPEPMIS ya mwezi upi
Hapo bado una mkopo mkubwa hiyo bank, jaribu mkopo mpya benki nyingineNot elligible because your take home ammount ...... Is less than allowable take home i.......
Nakosea wapi?? Nimefuta column ya kwanza nimeacha wazi nimejaza miezi na ile deductuble amaout. Walionionyesha
Hakuna cha makato wala nini 😭Oya bado?
Huenda ulishawahi kujaribu ku top up awali ukiwa umeshagota 1/3!Not elligible because your take home ammount ...... Is less than allowable take home i.......
Nakosea wapi?? Nimefuta column ya kwanza nimeacha wazi nimejaza miezi na ile deductuble amaout. Walionionyesha
Sometimes mfumo unajichanganya wenyewe hapo ni kupambana tuNot elligible because your take home ammount ...... Is less than allowable take home i.......
Nakosea wapi?? Nimefuta column ya kwanza nimeacha wazi nimejaza miezi na ile deductuble amaout. Walionionyesha
Kwenye madeni ninakodaiwaMbonq ubalia. Hakuna makato gani?
Sio kweliNi mfumo tu umeyumba logout kisha log in utakuta kila kitu
"Watu Wana approval huko" umemaanisha nini hapa?Ya mwaka mzima si mwisho ilikuwa mwezi wa sita ss watu wana approval huko kama ulikuwa hujazi kazi ipo
Ukiishi kwa kufuata yanayoandikwa humu lazima uvuruge mambo yako 🤣🤣🤣Sio kweli
Wapi napata option ya kubadili benk?? Maana hatua zote naona option ni CRDB tu banki ninayotumia kwa mshaharaHapo bado una mkopo mkubwa hiyo bank, jaribu mkopo mpya benki nyingine
Dah 😂😂😂Naona tushaanza kujaa jaa tarehe za mbwa kachoka hizi
Yes hii ni kweli.Hapo kati naishije kusubiri miaka 10 ,nategeme anikope nafanye biashara ili niishi mjini
Faida inatoka wapi ? Time value of money?Wazee juzi kati nilienda seminar Fulani ya investment, hasa mambo ya UTT na hisa.
Nimepata madini ambayo nilichelewa kuyajua.
Kama unaweza kukopa kopa pesa zote kaweke kwenye liquid fund ya UTT Kwa muda wa miaka uliyokopea. Mfano ukikopa miaka kumi, hakikisha kiasi chote unakiweka huko na ku-reinvest riba.
Kwa mkopo wa say milioni 50. Kwa miaka kumi utapata 155M. Kule benki utakatwa kama 98M.
Inflation?Faida inatoka wapi ? Time value of money?
Kuna utapeli mwingi sana hapa ,bora ufanye biashara ndogo ndogo.
Over long term utapata faida inakua saving scheme. Mfano anayeweza kusave 36m once ndani ya miaka 30 ya utumishi wake ATAKUA na 1B.Faida inatoka wapi ? Time value of money?
Kuna utapeli mwingi sana hapa ,bora ufanye biashara ndogo ndogo.
Achana na hizo drama ,na wao wanapata vip faida.Over long term utapata faida inakua saving scheme. Mfano anayeweza kusave 36m once ndani ya miaka 30 ya utumishi wake ATAKUA na 1B.
Think of it hata kungekua na inflation ya aina gani unavuna 1B Kwa milioni 36 tu.
Lakini hiyo 36 M uiweke Kwa mara moja. Wa biashara afanye Mimi nataka kustaafu kibabe sana.
Imagine siku unasubiri pension unakunjua 1 B.....