Michepuko haikwepekiAise katika kitu ambacho sitaki kuwa nacho maishani, ni M/MICHEPUKO.
Michepuko haikwepekiAise katika kitu ambacho sitaki kuwa nacho maishani, ni M/MICHEPUKO.
Santo sana kwa kunipa moyo!Unaweza kuwa huna hivyo vitu, ukawa na uzuri mwingine mkubwa zaidi, ila watu hawauoni. 😁
Hii inaitwa "elimination method"... X and Y
Hapana aise, kwani huwa inajileta au mtu anaitafuta.Michepuko haikwepeki
Yaan kila siku nashinda naye hapa, kumbe ni shem hukunambia! Usiwaze nimekusamehe.Huyu ni kaka yangu wala usimhusishe na haya mambo kabisa
Vipi kwa upande wangu naruhusiwa kuwa na matumizi yangu nje na familia?
Santo sana kwa kunipa moyo!
Huku ni wapi kwani 😎ShesRise_1, sio mshangazi, bado binti mdogo. 😊
Mimi ni mshangazi kama ulivyoqmbiwaShesRise_1, sio mshangazi, bado binti mdogo. 😊
Tunatumia zote elimination method, substitution method & graphical method.
Machungu katika ndoa husolvika kwa mchepukoHapana aise, kwani huwa inajileta au mtu anaitafuta.
Kuna nini kwani 🤣🤣Acha kumsumbua mshikaji, eleweka atachagua yeye, kati yako na Platinum ShesRise_1. 😁
Ooh! ushafika! nimekusubiri sana!Huku ni wapi kwani
Nikitafuta dogo dogo equation haibalance kwani?Wenye akili timamu hapa washajua kwenye equation inatakiwa uwe wapi.
Mimi ni mshangazi kama ulivyoqmbiwa
Kama unabisha utajua mwenyewe 🤣
Unasema je kijanaOoh! ushafika! nimekusubiri sana!
Umenikumbusha mbali sana mkuu! 😁