Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,600
- 19,866
Oa mwanamke mwenye muonekano mzuri tabia utamrekebisha.
Ni Sana Sana kurekebisha tabia za mtu ila huwezi kurekebisha muonekano wake especially sura mbaya.
Tumewashuhudia wanaume waliooa wanawake wenye muonekano mbaya kutokana na Hali zao( wanaume) mbaya za kiuchumi.
Ila uchumi wao ulipoimarika wanawake zao wenye muonekano mbaya cha moto walikiona.
Wanaume zao waliishia kuwatelekeza na kwenda kuoa wanawake wenye shape na sura nzuri.