Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 13,040
- 26,127
Kipindi unapewa hela ya matumizi na mzee.
Ndio. 😁
Kipindi unapewa hela ya matumizi na mzee.
Kitakulamba🤣🤣Mi sijaambiwa, mi najua. Wewe bado binti, mtoto mdogo.😁
Kitakulamba🤣🤣
Mtoto mdogo mnamfundisha nini?🤦🏽♀️Sasa je! Weka ndani, we binya masikio yote vizuri, atatulia tuu. 😁
Kwahiyo mimi hapa nipo wap🤣🤣🤣Hawa hapa hawa,
Mmoja sura nzuri, mwingine shepu nzuri na mwingine tabia nzuri.
Seran
ShesRise_1
win-one
nikiwaweka ndani, sina stress na maisha.
Ndugu Mshana Jr nisaidie katika hili.[/b]
Aloooo 🤣Hamna, we bado sana kuwa mshangazi. 😁
Nikitafuta dogo dogo equation haibalance kwani?
Mtoto mdogo mnamfundisha nini?🤦🏽♀️
Wanaume wachache sana wanaoelewa maisha wanajua hili. Wabheja sanaUzuri wa mwanamke sio mavitu hayo mnayo aminishana! 😁
Wanaume wachache sana wanaoelewa maisha wanajua hili. Wabheja sana
Hapana. Ukijuja kuishi mke huwezi kupata machungu.Machungu katika ndoa husolvika kwa mchepuko
Huyo dogo hata 25 tu hanaMtoto mdogo nani? 😁
Usijali tutaishi kwa furaha na amani kwenye mapenzi yetu.Mimi ni mshangazi kama ulivyoqmbiwa
Kama unabisha utajua mwenyewe.
Huyo dogo hata 25 tu hana
Kama una hela oa mwanamke mwenye shepu nsa sura nzuri! Utafaidi sana tu mema ya nchi. Ila kama huna hela, ni bora ukaoa mwanamke mwenye tabia njema.Je kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)?
Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika?
Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri lakini tabia mbaya?
Zingatia neno TABIA MBAYA!View attachment 3584537