mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Katimkia EFM
Nasikia....
Katimkia EFM
BBC???? you can't be serious
kwa nini awe yeye tu na si mwajiri wake kuibandika humu???ni uamuzi wake, sioni sisi tunajadili nini hasa!!! alichofanya cha ajabu ni kubandika mtandaoni barua ambayo inatakiwa kuwa siri kati yake na mwajiri!!!! ni tabia ya utoto na ukilaza ambayo inamshushia credibility.
Nyinyi ndo mnaishi dunia ya kukariri! kuna sheria ya
uwekaji wa tarehe? ndo maana bongo hakuna maendeleo
nyinyi ndo mmekariri barua za darasa la tano?
hihuhihuhu tarehe hata zikiwekwa mata.koni si inshu
inshu je zitaonekana na msomaji? wengine huweka chini
ya saini kabisa! msiwe limited kishamba jaribuni na
kugoogle
Swahiba na wewe upo chama cha waajili? hivi mkifukuzaga watu huwa mnawapa muda wa kupata replacement job?hana tofauti na aliekimbia bila taarifa. muajiri atapata wapi replacement ndani ya muda mfupi hivo? ukiangalia kwa upande wa pili (upande wa mwajiri) si uungwana. tena kwa mtu uliefanya nae kazi miaka yote hiyo ghafla tu unatoa taarifa za kuacha kazi!!!!?
hata mi niliyeanza kazi juzi namzidi
bora bas wangekua huru km clouds kufanya madili mengine
Umeona mkuu?
Nimeshangaa kama kwa level yake uwezo wake wa kuandika barua ndiyo huo!
...na jina juu ya sahihi.... then ni kujiuzulu au kuacha kazi? au alikuwa na appointed post?Nimependa uandikaji wa barua, tarehe inawekwa kwenye anuani ya anayepewa barua!!!!!!
kwa nini awe yeye tu na si mwajiri wake kuibandika humu???
Pitapita zangu sehemu nimeinasa hii....
Resignation ni neno sahihi kwa kingereza ila kiswahili ndio inabidi kikope maneno....na jina juu ya sahihi.... then ni kujiuzulu au kuacha kazi? au alikuwa na appointed post?
Tatizo wake wengi shekhe
Nasikia itv posho ndogo na kuna matabaka
Kimeota vp wakati mtu karesign na wewe