Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
Ameenda lambalamba media
Tatizo wake wengi shekhe
Huyu kijana kinda kabisa ana zaidi ya mke mmoja ?dunia inakwenda wapi ?
Mtangazaji mkongwe wa michezo kwenye kituo cha Radio one Stereo/ITV ameacha kazi.
Kitenge ambaye amefanya kazi kwenye kituo hicho kinachomilikiwa na IPP kwa muda wa miaka 14, amedai anakwenda kufanya shudhuli zake binafsi akidai kuwa, hali ya maisha imepanda kwa kiasi kubwa sana na mahitaji ya kimaisha yameongezeka gharama, hivyo inanilazimu kutafuta njia mbadala ya kujiingizia kipato kikubwa zaidi
Source: BONGO 5
Kumbukumbu zangu
Mwaka 2005 nilisoma kwenye gazeti moja hivi (sikumbuki) alisema anampango wa kugombea ubunge ifikapo 2015.
Sijui kama bado ana nia hiyo iliyomlazimu aache kazi au kapata shavu kwingine.
ALL IN ALL: Kila la kheri Maulid Kitenge a.k.a Baba Shadya tutakumiss kwenye kioo.
Umarioo haa sidhani ingawa mke wake mkubwa Eshe Mhidin aliyekuwa TBC sasa yupo UN Sudani huyu mke wapili sijui anafanya kazi gani.
Ni kweli hiyo kazi imemfanya ajulikane na akitoka hapo anaweza kupata opportunity nzuri hata business
Kusomesha watoto ni jambo zuri sana..yaani jitu zima na akili zake eti linasema limejiuzulu!!!! Mxxxxxx halijui tofauti ya kujiuzulu na kuacha kazi!!
Mno na maisha yamepanda ila wakubali wakatae limewatoa wengi kujulikana na kupata opportunities nyingine.
Kawa mstaarabu tu kwa kumsitiri mwajiri wake ila ukweli ni kwamba lile chaka ninalipa kiduchu sana.
...
Kitenge ambaye amefanya kazi kwenye kituo hicho kinachomilikiwa na IPP kwa muda wa miaka 14, amedai anakwenda kufanya shudhuli zake binafsi akidai kuwa, hali ya maisha imepanda kwa kiasi kubwa sana na mahitaji ya kimaisha yameongezeka gharama, hivyo inanilazimu kutafuta njia mbadala ya kujiingizia kipato kikubwa zaidi
Na yule mwenzie mlinda mlango namba moja mwenye gloves ya voda com Katanga hivi mbona naye simsikii au nae kaacha?
hii barua inanipa shaka kama huyu mwanahabari anayo taaluma ya "uhandishi wa habari"!!!"""
Unaweza kujiuzulu kazi yeyote ile ,ukulima ,ufugaji uvuvi,wazibua karo-mifereji,wazoa taka,wachawi,vibaka,dada wa nyumbani,uchangudoa,pusha wa ngada,ukuwadi yaani zote zinahusu kujiuzulu mkuu!du, hivi utangazaji nao unajiuzulu? du naona anawaza siasa, au amepata na yeye post serikalini ya upande wa habari nini? angeandika yah: kuacha kazi basi.
Namshauri ajiunge na TBC 1, ili abobee katika fani!!!
Haha ndio nani huyo.
Kusomesha watoto ni jambo zuri sana..yaani jitu zima na akili zake eti linasema limejiuzulu!!!! Mxxxxxx halijui tofauti ya kujiuzulu na kuacha kazi!!
Sasa yeye kua na zaidi ya mke mmoja inakuhusu nini? Hizo ni mambo binafsi na makubaliano yake na wake zake.