Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 454
Kitenge kapata shavu nene kwenye media nyingine huko kama sio "azam tv" basi ni "clouds tv" mark my word.
itakuwa BBC idhaa ya Kiswahili.
Kitenge kapata shavu nene kwenye media nyingine huko kama sio "azam tv" basi ni "clouds tv" mark my word.
Tatizo wake wengi shekhe
:hail::hail::hail:.....sawasawa.
Tarehe je!? ina mjadala hapo?
Mno na maisha yamepanda ila wakubali wakatae limewatoa wengi kujulikana na kupata opportunities nyingine.
Kama anasema alitumika kwa miaka 14 huko ITV je kama anakwenda Azam TV hatatumika? Je haiwezekani kuwa kibarua kimeota nyasi huko ITV?
du, hivi utangazaji nao unajiuzulu? du naona anawaza siasa, au amepata na yeye post serikalini ya upande wa habari nini? angeandika yah: kuacha kazi basi.
Kinachosikitisha anasema ameamua kuacha kazi eti maisha yamekuwa magumu, na hasemi ni wapi anakokwenda ambako maisha yatakuwa mapesi.
Kimsingi ukiamua kusema sababu za kuacha kazi unapaswa kusema pia unakwenda kufanya nini kinyume na hapo utakuwa umeharibu!
Kaacha kazi au kajiuzulu? Asijipaishe hapa!
....bado sijaona kosa la kiuandishi hapo upande wa Tarehe.
It's an immediate resignation notice,
Suala la kurudisha mshahara halina mjadala, kaliweka sawa sawa.
Mnaohoji template aliyoitumia leteni samples zenu hapa 'tuone' ya nani muafaka, otherwise wengi wenu mnalaumu kiushabiki tu.
#MosKwito !
angesema tu amepata kazi sehemu nyingne yenye malipo mazuri zaidi. maisha magumu halafu uamue tu kuacha kazi bila kuwa na mbadala. hajawa muwazi.
Alidhani kumiliki wake wawili ni sawa na kufuga bata wawili?
Eti chief! Yani kaniangusha kama mtangazaji. Anasema maisha yamekuwa magumu wakati anakazi je wale ambao hawana watasemaje!
Pengine alitarajia akisema maisha ni magumu mkurugenzi ataongeza cha juu hahahahaha!!! Sijapenda uandishi wake. Ila kupata kazi sehemu nyingine ni vizuri unajifunza zaidi.
......................
Maulid kitenge
aisee nimejisikia vbaya sana...!!!
Mengi anatakiwa aamke sasa!!
Yaani gold zinaondoka zote hizo!!
MTANGAZAJI wa michezo wa Radio One Stereo na ITV, Maulid Kitenge kupitia akaunti yake ya Twitter hivi punde ametangaza kuondoka rasmi katika kampuni hiyo ya IPP baada ya kuitumikia kwa miaka 14. Je, nini maoni yako.![]()
![]()
![]()
hata mimi sijapenda kabisa..... bora hata angedanganya sababu kuliko hiyo sababu aliyoitoa. ... vizuri kama amepata kazi sehemu nyingne. kufanya kazi sehemu moja miaka 14 yote hiyo ni mingi sana.