Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Ngoja tunajaribu kuweka hesabu sawa ili ionekane tumefanikiwa
 
Wajitahidi tu kuhalalisha uchaguzi kwa kumutumia media zao, ila ukweli leo hakukuwa na uchaguzi. Sehemu kubwa ya nchi
 
tangu lini watoto wanapiga kura kuchagua viongozi?
A7618CD3-DC5C-425B-BD3C-59C5A6310219.jpeg
 
elivina shambuni,
Sijui katiba na sheria za vyama vyao zinasemaje? Maana kama wameshiriki inaonesha ni usaliti kwa kuweka maslahi yao binafsi kuliko vyama vyao. Kwa kuwa vyama vyao vilisha jitoa itakuwa wamegombea kama wagombea binafsi? Je sheria ya uchaguzi inaruhusu hilo?
 
Bwana Ally Juma Kingomile wa Puge, Geita amepita pila kupingwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mgombea huyo aligombea kupitia CHADEMA na amepita bila kupingwa kwani ccm na vyama vingine havikusimamisha mtu kwa sababu viliamua kumsapoti bwana Ally wa chadema kwani walimuona ndiyo kiongozi wao anaowafaa.

Alipoulizwa kwanini kaamua kugombea wakati chama chake kimejitoa alijibu yeye sio chizi wala sio mbumbu kiasi cha kususia uchaguzi kwasababu za kitoto.

Alijibu "Mimi sio mpuuzi mpaka nisusie uchaguzi, wananchi wanataka niwaongoze sasa nasusaje uchaguzi? Lazima nitimize haki yangu ya kidemokrasia siwezi kususasusa hovyo. Mimi najiamini na ninazijua katibu zote yaani ya chama changu na ya taifa hivyo hakuna mtu yoyote wa kunitisha"
Mwisho wa kumnukuu.

Watu kama hawa ni wakuwafunga jiwe na kutupwa baharini kabisa
 
Hakuna mgombea wa CDM aliyeshiriki kwenye uchaguzi huu haramu. Sema majina ya wagombea hao hayakuondolewa kwenye karatasi za kura kwa kuwa wagombea hao wachache waliteuliwa kwa sababu maalum (yaani ionekane kwamba CCM imetenda haki)
Sijui katiba na sheria za vyama vyao zinasemaje? Maana kama wameshiriki inaonesha ni usaliti kwa kuweka maslahi yao binafsi kuliko vyama vyao. Kwa kuwa vyama vyao vilisha jitoa itakuwa wamegombea kama wagombea binafsi? Je sheria ya uchaguzi inaruhusu hilo?
 
Back
Top Bottom