Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
bellamy nae anaweza kufungiwa pia, jamaa tulikuwa tunawashangaa bure wananunua ma striker kibao kumbe walijua kwamba mastriker wao wakorofi kwahio lazima wajiandee..
Last edited:
A few things:
When the announce the time added on its a minimum - not when then game should finish, but the minimum time the game should finish, in this case it was 94 minutes
Then the ref had to add time on for bellamys goal celebration, and as they said on MOTD2 it was 56 seconds from the time the ball crossed the utd goal line and to when kick off was taken.
Then SAF brought on carrick - adding another 30 seconds this equals 1 minute and 26 seconds. 94 + 1.26 = 95.26
Owens goal was at 95.27
yes 1 second over but at 95.26 i can imagine the ball was roughly at owens feet in the penalty area just before he scored, and that isnt somewhere, where you would finish a game is it.
mkuu, hivi wachezaji wanaruhusiwa kushangilia bado indefinately? Mi nilidhani ni sekunde 30 hivi na ndivyo walivyosema, bao lilifungwa dakika ya 90 sio ya 89, na kama ukiongeza sekunde 30 mpira ulikuwa uishe dakika ya 94 na nusu, sasa hilo la 95 na ushee linatoka wapi?
kubalini kuwa hapo Old traford kuna kubebana na huu mjadala haujaanza leo mkuu!
Man city were robbed!
Kama tulivyowarob nyie Moscow mwaka jana? Lol!!Sasa Man City wangefunga mngesema Man Utd wamekuwa robbed ama mngechekelea na kusema sisi bila Ronaldo ni weupe?
Siyo kama unacheza na MANU tena wakiwa kwao na timu pinzani inawakosa baadhi ya wacheza wake nyota. Kwa maoni yangu walikuwa na advantage ya 80% to 20%
Life in the old dogs yet
Galling stuff for Wenger and exacerbated when he was pointlessly sent from his technical area by referee Mike Dean on the say-so of the fourth official after he kicked a plastic bottle in frustration when Robin van Persie's injury-time strike was chalked off for offside
Ilikuwa Derby ya ukweli inabidi ndugu zote Liverpool,Chelsea na Arsenal mje kujifunza ni jinsi gani game ya wapinzani inatakiwa kuwa sio game inakuwa upande mmoja
Mbona last season Liverpool mlitupiga game zote 2,Game zote VIDIC alipewa red card
Ukitaka kumfunga MAN unatakiwa kucheza hadi filimbi ya mwisho hii timu ina historia ya kufunga magoli dakika za nyongeza
Nyie hamjawahi kubebwa? Unakumbuka game na Atletico Madrid
So you want to tell me that two wrongs can make it right huh!!?? Tukubaliane kwanza it was a daylight robber dhini ya Mancity halafu tuendelee na mada ya Liverpool kwenye thread ya the kops sawa???
Hii ni kama ile ya primary, tukazipigie kuleee nje ya shule
Imebaki bikra moja ya Chelsea kuondolewa
Hiyo haiwezi kuondolewa na timu ya wachezaji 11 wa Man utd mpaka muongezewe akina Mike Dean na Alan Wiley na wengineo, tofauti na hapo. Man hamtowaweza Chelsea kwa mpira wenu wa kihivyo.
Hiyo haiwezi kuondolewa na timu ya wachezaji 11 wa Man utd mpaka muongezewe akina Mike Dean na Alan Wiley na wengineo, tofauti na hapo. Man hamtowaweza Chelsea kwa mpira wenu wa kihivyo.
Sorry kwa kuingilia ila as a Man Utd fan nipo responsible kujibu, sasa mkuu MTM ina maana sikuhizi nguvu na uwezo wa refa haupo tena au ndio kusema mwamuzi wa mwisho wa mechi za soccer siku hizi ni mashabiki wasioipenda Man Utd
Sasa hivi najua wengi mnalialia sana Man Utd akishinda, angefungwa wala kusingekuwa na kelele za kumlaumu refa ila zingekuwepo shangwe za kucheka kwamba tumefungwa ha ha ha poleni sana kama ni nyuzi basi Man city ilikuwa siku yao kutolewa mshono mkuu. EID kipilau kimeshuka taratibuuuu
Sio Chelsea tu hata Burnley hatuwawezi, last season tuliwapiga 3 bila je tulibebwa?
utajua mlibebwa au siyo mkija darajani tarehe 8 November, Burnley waliwashinda kwa sababu refa alikuwa mgeni wa ligi hajui kama Man U ni timu ya FA, angekuwa Mike Dean mechi mlikuwa mnashinda ile.
Man Utd sio wabovu kihivyo, ila mtakapokutana na watoto mbwa darajani mtamkumbuka sana Mike Riley.