Inafikia kipindi inabidi tumpe sifa zake 10Hag hadi hapa tulipofikia. Man utd ina ufinyu wa kikosi kiasi kwamba akikosekana mchezaji mmoja tu wa kikosi cha kwanza,timu nzima inakosa uwiano mzuri uwanja iwe kwenye beki (martinez),kiungo (casemiro) au ushambuliaji (rashford na/au Bruno).

Hii timu inahitaji wachezaji sio chini ya 8 ili mwakani mwalimu asipate shida kama hizi.
si alipewa ela akaishia kumsajil antony kwa 100 na magarasa wengne astahili sifa uyo n nyumbu anawang'ata na kuwapuliza oleguna alishawah kua namba2 na kikos cha elanga
 
Eric ten ni jasusi bobezi la Dutch government hapo MANCHESTER United lengo ni kuchota mipesa hapo unyumbuni na kuipeleka udachini
 
Captain Maguire kisiki ukuta wa Berlin ameshalishutia hilo jasusi la Ajax hapo MANCHESTER United ten hag
 
Hii ndo jezi yetu ya msimu mpya wa 2023/2024

Vipi wakuu tumepigwa au uzi umenyoka.
20230425_121150.jpg
 
Manchester United is playing today and whole world is happy

Prediction

Tottenham 0 vs Manchester United 3

4:15 night

White Hart Lane

Last match

Manchester United 2 vs Tottenham 0

Pigaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaaa
Chinjaaaaaaa


Kama unaona Tottenham hatashinda mbetie hela ya mtaji.

GGMU
1682574586858.jpg
 
Manchester United is playing today and whole world is happy

Prediction

Tottenham 0 vs Manchester United 3

4:15 night

White Hart Lane

Last match

Manchester United 2 vs Tottenham 0

Pigaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaaa
Chinjaaaaaaa


Kama unaona Tottenham hatashinda mbetie hela ya mtaji.

GGMU View attachment 2601471

Tottenham 0 VS Manchester United 4
 
Back
Top Bottom