Mechi zote tulizocheza ukishamtoa Antony, biashara imeisha. Sasa leo na Bissaka katolewa kule kulia kukafa kabisaaa


halafu majagi7 kila mechi anarudia sub zake za kijingajinga yaani hata hajifunzi, ndio maana Bachelor ll amemuingiza kwenye list yake ya Majasusi.
Amezidiwa mbali sana na Nabi kwenye upande wa sub, mara nyingi anapuyanga tu.Huyu jasusi anamtoa WB anamuingiza Malacia, halafu unamtoa Anthony unamuingiza Martial.
Maaaammae wacha tupigwe tu.
Huyu Kipara Sub zake hua zinaniacha hoi sana halafu kila siku anarudia upuuzi huohuo yaani hata hajifunzi.
Anapaniki kijinga sana,Amezidiwa mbali sana na Nabi kwenye upande wa sub, mara nyingi anapuyanga tu.
Leo kumlaumu De Gea ni kumuonea bure, wakulaumiwa ni Jasusi na Sub zake za kipumbavu.De Gea mchezaji wa ajabu sana, kile mechi lazima afanye kosa la kutufungisha tu duh.
Goli la pili De Gea katufanyia uhuni, huwezi kubutua vile na timu iko disorganized namna halafu unabutua mpira kwenda direct kwa opponent dah.Kuna wachezaji unatamani waendelee kuwa majeruhi ili usipate kuwaona uwanjani
Umeona goli la pili alivyowasetia spurs ?Leo kumlaumu De Gea ni kumuonea bure, wakulaumiwa ni Jasusi na Sub zake za kipumbavu.
Tena tushukuru leo Spurs hawakua na bahati tu la sivyo tulikua tunagongwa goli zisizopungua 5.
Hapa akikusanya data za kijasusi ,Ingekuwa za kitimu ingesaidiahalafu majagi7 kila mechi anarudia sub zake za kijingajinga yaani hata hajifunzi, ndio maana Bachelor ll amemuingiza kwenye list yake ya Majasusi.