D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Aston villa vs Fulham.
Mechi nzuri sana ya kuangalia usiku wa leo
Mechi nzuri sana ya kuangalia usiku wa leo
Inafikia kipindi inabidi tumpe sifa zake 10Hag hadi hapa tulipofikia. Man utd ina ufinyu wa kikosi kiasi kwamba akikosekana mchezaji mmoja tu wa kikosi cha kwanza,timu nzima inakosa uwiano mzuri uwanja iwe kwenye beki (martinez),kiungo (casemiro) au ushambuliaji (rashford na/au Bruno).View attachment 2598967
Bila ya huyu mjinga hatutoboi kwa mechi zilizobakia.
Nimekaa pale nawasubiria wabwatukaji na hoja zao
si alipewa ela akaishia kumsajil antony kwa 100 na magarasa wengne astahili sifa uyo n nyumbu anawang'ata na kuwapuliza oleguna alishawah kua namba2 na kikos cha elangaInafikia kipindi inabidi tumpe sifa zake 10Hag hadi hapa tulipofikia. Man utd ina ufinyu wa kikosi kiasi kwamba akikosekana mchezaji mmoja tu wa kikosi cha kwanza,timu nzima inakosa uwiano mzuri uwanja iwe kwenye beki (martinez),kiungo (casemiro) au ushambuliaji (rashford na/au Bruno).
Hii timu inahitaji wachezaji sio chini ya 8 ili mwakani mwalimu asipate shida kama hizi.
Mi nimeielewa hiyo jeziHii ndo jezi yetu ya msimu mpya wa 2023/2024
Vipi wakuu tumepigwa au uzi umenyoka.View attachment 2600260
Jezi mbayaHii ndo jezi yetu ya msimu mpya wa 2023/2024
Vipi wakuu tumepigwa au uzi umenyoka.View attachment 2600260
Uzi 🔥Hii ndo jezi yetu ya msimu mpya wa 2023/2024
Vipi wakuu tumepigwa au uzi umenyoka.View attachment 2600260
Hii ndo jezi yetu ya msimu mpya wa 2023/2024
Vipi wakuu tumepigwa au uzi umenyoka.View attachment 2600260
Tunawata qatariansHuyu tajiri ni fala kweli kweli
Sir Jim Ratcliffe is offering a deal for Manchester United that would enable Joel and Avram Glazer to remain stakeholders in the club.
@MikeKeegan_DM



4:15 night
White Hart Lane


