adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,793
Martial kidogo a home kwa kukaa na mpira pasipo na faida.
Muda wowote kuanzia sasa tunaweza kupigwa..Tunakimbizwa sana sahv
Hatimaye Son kaingia kambani 2-2Muda wowote kuanzia sasa tunaweza kupigwa..
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyu jasusi anamtoa WB anamuingiza Malacia, halafu unamtoa Anthony na Sancho unamuingiza Werghost na Martial[emoji23][emoji23][emoji23]Malacia kaingia hana impact yeyote na goli limetoka upande wake.
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu majagi7 kila mechi anarudia sub zake za kijingajinga yaani hata hajifunzi, ndio maana Bachelor ll amemuingiza kwenye list yake ya Majasusi.Mechi zote tulizocheza ukishamtoa Antony, biashara imeisha. Sasa leo na Bissaka katolewa kule kulia kukafa kabisaaa