Statement from Greater Manchester Police: "Criminal proceedings against a 21-year-old man in connection with an investigation opened in January 2022 have, today (Thursday 2 February 2023), been discontinued by the CPS."

Welcome again Greenwood
20230202_170405.jpg
 
Timu impokeaa tu mdogo wetu aanze mazoezi haraka sana kwa miezi 6 msimu ujao tunamuhitaji nadhani atakua serious na mpira vibaya mno sasa hivi.
Mkataba wake uliopo sasa ni mpaka 2025. Na klabu ina option ya kuongeza mwaka mmoja

Tukijifanya ni wazee wa maadili tunapoteza £100 milioni kirahisi sana

By the way, mfumo wa sheria umeamua wasiendelee na kesi, sisi ni nani tupinge
 
Kipaji kikubwa sana.

Timu impokee iache ujinga..aanze mazoezi ya kiakili na mwili mara moja.

Ule mguu unalijua goli sana
Timu itampokea tu kwasababu hana kesi hawana sababu ya kuvunja mkataba ambao itabidi pesa iwatoke.

Shida ni wale jamaa wanaokaa jukwaani 😂 akigusa mpira utasikia tu "booooo" dogo itabidi ajikaze, muhimu performance tu watu watasahau.
 
Statement from #mufc: ‘Manchester United notes the decision of the Crown Prosecution Service that all charges against Mason Greenwood have been dropped. The club will now conduct its own process before determining next steps.‘ Club won’t make any further comment.

Greenwood will not return to training or play for #mufc as club conducts their investigation.
 
Back
Top Bottom