Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,348
- 5,132
Antony awe anaanzia benchi tu sasa kama dogo anarudi
Sio Weghorst
Antony awe anaanzia benchi tu sasa kama dogo anarudi
Antony ni mtu hatari sana kwa upinzani... unaweza usione kama ni shabiki hoyahoya... Greenwood kama akirudi atengenezwe kucheza namba 9(false 9)Antony awe anaanzia benchi tu sasa kama dogo anarudi
Hakuna haja ya kutumia pesa kusajili namba 9 kama magoli yanafungwa sahivi... man utd wasajili de jong au progressive midfield yoyote... wasajili beki namba 2... wasajili na LCB backup ya Lisandro... wasajili golikipaAntony ni mtu hatari sana kwa upinzani... unaweza usione kama ni shabiki hoyahoya... Greenwood kama akirudi atengenezwe kucheza namba 9(false 9)
Naona wanataka kumsajiri msambuliaji wa sporting Lisbon Didier kavumbaguHakuna haja ya kutumia pesa kusajili namba 9 kama magoli yanafungwa sahivi... man utd wasajili de jong au progressive midfield yoyote... wasajili beki namba 2... wasajili na LCB backup ya Lisandro... wasajili golikipa
Nmesikia top target za ETH ni CHIESA na de JongHakuna haja ya kutumia pesa kusajili namba 9 kama magoli yanafungwa sahivi... man utd wasajili de jong au progressive midfield yoyote... wasajili beki namba 2... wasajili na LCB backup ya Lisandro... wasajili golikipa
Huyu mwisho wa msimu auzweSio Weghorst
Utauzaje mchezaji wa mkopo huyo Sio mchezaji wetu ana mkataba wa mkopo wa miezi 6 tu.Huyu mwisho wa msimu auzwe
Greenwood kam atamalizana na united sancho na antony namba hawana tena yule dogo ni hatari anatumia miguu yote yuko agressive san mnyumbulifu anapower anarud kumsaidia bek wakat tunashambuliwa dogo anakipaj sanAntony ni mtu hatari sana kwa upinzani... unaweza usione kama ni shabiki hoyahoya... Greenwood kama akirudi atengenezwe kucheza namba 9(false 9)
We're the famous Man United and we a going to Wembley
Updated 2022/23 Squad List



Kaangalie game za akiwa Academy pia na game yake akiwa first team dhidi ya Tranmere Rovers alipiga penati na mguu wa kuliaHaya Kumekucha![]()




