Atahitaji kusaidiwa kisaikolojia, pia inategemea fans na jamii inampokeaje. Wakimpokea positive anagain kwa haraka sana. Yule dogo anakipaji kikubwa sana.Dah greenwood yupo huru je atakuwa na ubora wake ule ule?
Timu impokeaa tu mdogo wetu aanze mazoezi haraka sana kwa miezi 6 msimu ujao tunamuhitaji nadhani atakua serious na mpira vibaya mno sasa hivi.Habari kubwa mno. Mason Greenwood yupo huru. Aondolewe mashtaka yote dhidi yake.View attachment 2503806
Mkataba wake uliopo sasa ni mpaka 2025. Na klabu ina option ya kuongeza mwaka mmojaTimu impokeaa tu mdogo wetu aanze mazoezi haraka sana kwa miezi 6 msimu ujao tunamuhitaji nadhani atakua serious na mpira vibaya mno sasa hivi.

Kipaji kikubwa sana.Atahitaji kusaidiwa kisaikolojia, pia inategemea fans na jamii inampokeaje. Wakimpokea positive anagain kwa haraka sana. Yule dogo anakipaji kikubwa sana.
Saul Goodman ndo alikuwa lawyer wake niniHabari kubwa mno. Mason Greenwood yupo huru. Aondolewe mashtaka yote dhidi yake.View attachment 2503806

?Saul Goodman ndo alikuwa lawyer wake nini?











criminal lawyer wa ukweliYou better call Saul..Saul Goodman ndo alikuwa lawyer wake nini?
Timu itampokea tu kwasababu hana kesi hawana sababu ya kuvunja mkataba ambao itabidi pesa iwatoke.Kipaji kikubwa sana.
Timu impokee iache ujinga..aanze mazoezi ya kiakili na mwili mara moja.
Ule mguu unalijua goli sana
😂😂😂 Saul mtu wa dili.Saul Goodman ndo alikuwa lawyer wake nini?
Wakili Msomi atakuwa amecheza na Law of Evidence tu, shughuli ikaisha mapemaSaul Goodman ndo alikuwa lawyer wake nini?
Hawa man u nao vp tena.. kesi ishafutwa investigation ya nn tenaStatement from #mufc: ‘Manchester United notes the decision of the Crown Prosecution Service that all charges against Mason Greenwood have been dropped. The club will now conduct its own process before determining next steps.‘ Club won’t make any further comment.
Greenwood will not return to training or play for #mufc as club conducts their investigation.
Here you go.Safi sana GREENWOOD karudi....ngonj niingie YouTube nijikumbushe magoli yake.
Lkn nasikia ETH among ya top target ni CHIESA wa Juventus
Kwanini tusimuuze tu mazima!?Tuanzebe - stoke city kwa mkopo
View attachment 2502519
Hii ni record safi sana halafu tumefungwa magoli matano tu wakati sisi tumefunga 29 na hatajaruhusu goli mechi saba. OT unekuwa uwanja wa machinjio.
Yaan huyu mwamba arudi mapema mimi kwangu ndio forwad bora wa man kulinganisha na hawa kina Rashford na Martial tena chini ya ETH aisee atawamaliza wapinzani. Dogo anajua kufunga sana.Habari kubwa mno. Mason Greenwood yupo huru. Aondolewe mashtaka yote dhidi yake.View attachment 2503806
Ni bora kijana arejee uwanjani.Habari kubwa mno. Mason Greenwood yupo huru. Aondolewe mashtaka yote dhidi yake.View attachment 2503806