Hawa jamaa sidhan kama wanataka kuiachia hii club[emoji599]The Glazer family is still hesitating between a complete sale and accepting a minority stake. Some members believe the club's value could skyrocket if Erik ten Hag brings lasting success on the pitch.
[ESPN]
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2504852
Miaka 30Mwaka wa sita mbona mdogo, liverpool kakaa miaka 20
Dogo ajifue peke yake kwanza ili awe fitiAfadhali yani
Akirudi dogo ushindani wa namba utakuwa mkali kama bangi za Kingston JamaicaAntony awe anaanzia benchi tu sasa kama dogo anarudi
Yaani tuuze kitu cha kukopa?Huyu mwisho wa msimu auzwe
Nilikuwa sijui kama yupo kwa mkopo 😁Yaani tuuze kitu cha kukopa?
Target yao nazani wanasubiri tutwae Carabao ili wapandishe Dau washaona uelekeo wa Kombe hawawezi achia kirahisi.Hawa jamaa sidhan kama wanataka kuiachia hii club
Wauni hao arsenal wabebee Wapi UEFA labda 2055 huko.
Kaharibu tu hapo alivyoweka Arsenal. Ila chochote kinaweza kutokea
Labda tusubrieKaharibu tu hapo alivyoweka Arsenal. Ila chochote kinaweza kutokea
Alete watu....huyu dogo mfatilie afu utuletee analysis tumjueTen Hag is an admirer of Utrecht's Taylor Booth. Ten Hag still has strong ties to the club so is well informed on Booth's capabilities and is believed to be actively monitoring his progress.
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2505016
Mimi huwa nawashangaa sana mashabiki na wachambuzi hasa kina Scholes wakimdharau Antony sijui huwa hawaoni hatar yake? Warejee ile mechi ya Arsenal alipotoka uwanja ulielemea kwetu.Antony ni mtu hatari sana kwa upinzani... unaweza usione kama ni shabiki hoyahoya... Greenwood kama akirudi atengenezwe kucheza namba 9(false 9)
Baada ya mechi urudi hapa we kengeKila la kheri crystal palace
OLISE man of the match [emoji91][emoji91][emoji91]
CASEMIRO RED CARD
ushindi Ndyo jadi yetu crystal Palace
Anachonikera anakatabia ka uselfish Ni mchoyo sana, labda ten hag atambadilisha hiyo tabia.Greenwood kam atamalizana na united sancho na antony namba hawana tena yule dogo ni hatari anatumia miguu yote yuko agressive san mnyumbulifu anapower anarud kumsaidia bek wakat tunashambuliwa dogo anakipaj san
Ni mchana?Matchday
GGMU..
Palace inabidi tumpige kama Ngoma leo.