Interesting! Fred alikimbia sana mpaka kufika pale ni kama alinusa goal before.Pasi ya Bruno to rashyy then fred goal,,,, ..
Unaweza kwenda nayo bank ukaweka dhamana ya kupewa mkopo ! Vile vitu wanapiga kina modric
Wembley here we are
#GGMU
Kwan Nyie mlishinda ngapi Vs Newcastle?Kunywa maji halafu relax. Timu yako inayocheza mpira mzuri wametuliza mbupu wanaangalia wanaume kwenye TV. Timu yako ilishindwa kupata goli hata la kuotea dhidi ya Newcastle.
Narudia tena, kunywa maji (mengi) halafu relax. Huu mchezo hauhitaji hasira.
Tuzo ya vichochoroni hiyo
Pokea Ukweli hamuna timu ya kubeba kombe lolote Newcastle lazima wawafumueKunywa maji halafu relax. Timu yako inayocheza mpira mzuri wametuliza mbupu wanaangalia wanaume kwenye TV. Timu yako ilishindwa kupata goli hata la kuotea dhidi ya Newcastle.
Narudia tena, kunywa maji (mengi) halafu relax. Huu mchezo hauhitaji hasira.