Ulitaka nani anunuliwe?Kila nikiiwazia forward line yang ya kina rashford nasikitika kwakwel.. baada ya gemu ntakuja kucomment
Binafsi nilipomuona McTominay moyo umetulia kabisa, lazima wakae hawa leo
Mhuni sana huyu, baadae ataingia mwamba Fred.Binafsi nilipomuona McTominay moyo umetulia kabisa, lazima wakae hawa leo
Kwann watu 9 mkuu au weghost humuamini..???Weghost ndani
Tayari wameshaanza na watu 9 uwanjan
Una imani na nani?
Ulitaka akangeje embu weka kikosi chako tuone
Ila Kocha muda mwingine,mmh, sina imani na kikosi. Ila kocha ndio anawajua wachezaji wake.
Sio 9 ni 8 nilimsahau antony
Tominay mbona yupo fresh tu,,, game za Kwanza Kwanza kipindi Casemiro anaadapt jamaa alikichafua Sana tu ,,,, Sema InAtegemea kaamkaje,,,,
#JIJIEMYU