Una akili kubwa sana ya mpira mkuu...Arse8 hapo kati huwa wazuri sana. Tulitakiwa mtu kama Fred awakamate.Sema nilitaman Kati tuwe solid zaidi angeanza tominay na Fred, then ericksen baadae,,,, wacha tuone
Anthony ule upande anasaidia Sana timu ikiwa imezidiwa, sio mvivu atapambana
Rashyy akomae aache uchoyo, pakutoa pasi anafosi kufunga ili sijui ili aweke rekodi !!!
Beki imesimama vzr, shaw anasaidia Sana kupandisha mashambulizi ule
upande!
AWB recently kiwango kimepanda, anakaba kwa akili kubwa, hapanic ovyo!
Ngoja tuone mkuu itakavyokuwa,,,, !!!!Una akili kubwa sana ya mpira mkuu...Arse8 hapo kati huwa wazuri sana. Tulitakiwa mtu kama Fred awakamate.
Mkuu leo mimi nipo hapa hapa kwenye huu msibaMwepesi sana wewe.
Uzuri treni za kusafirisha wafiwa zimesha park kituoniMkuu leo mimi nipo hapa hapa kwenye huu msiba
Mhuni sana huyu, baadae ataingia mwamba Fred.