Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,520
" but Kane is for small clubs"Kane is for small clubs tu.
football mind at this forum bro! it's so disgusting
" but Kane is for small clubs"Kane is for small clubs tu.
Usichoelewa Mikel Arteta yupo gifted kwa kuona wachezaji wazuri, Talent identification, so hatuhitaji pochi kupata wachezaji wazuri, that's why tajiri miluzi scouting yake kaitegeshea Arsenal, kipindi unawaza tutamsajili Even ndicka, Arteta kashamuona Jakub kiwior kutoka Spezia [emoji16][emoji75]Frank sio kocha mzuri ila alikuwa overhyped sana na hana potential yoyote ile ya kuja kuwa kocha mzuri.
Ole mapungufu yake makubwa sana yupo soft sana. Hana ile strong character kama kocha mara nyingi sana hii inaweza kukufanya ukumbatie madhaifu ya timu.
Mikel Arteta ni young version ya Arsene Wenger ktk new generation ni mtu smart sana kimbinu ila soka la kisasa ni lazima pochi ipasuke ili ushindane in-longrun. Siku hizi huwezi kushinda makombe bila uwekezaji mkubwa sana. (Chelsea & Manchester City ni case in point)
Ndoto hii
Una betSiku ya leo nitakuwa na furaha sana kama tukimkojolea Arsenal kwa mara ya pili.
Tusipozipata points 3 sitashangaa kama ambavyo tukishinda.
Naona kunakitu kinarejea united mdogo mdogo. Tunaoijua united ya miaka na miaka. Pass za tenis ndefuuuu Ina mkumta winger na kutambaa nayo wakati MD wanakuja kupanga mashambulizi Kwa eneo Hilo asernal ni mdg sanaKitakachowaponza Arsenal ni kumiliki mpira
Winning mentality ipo juu sana,wazoefu wa mataji tunao.Naamini leo Rashford atacheza ki-utu-uzima.Game day !!!!
Eth namuamini Sana, mtu anapasuka leo !
Draw ya Newcastle ilikuwa nzuri Sana kwa upande wetu !
#GGMU
Wasiwasi wako ndio maradhi yako.Anyone confident going to this?
Sina amani kabisa..unahitaji kuwa kwenye kiwango bora sana kila idara ili kuwafunga Arsenal.
@DarmianMatchday..
GGMU.
Imagine being beaten up by Arsenal!!!...ni maumivu matupu.
Vijana wapambane.
======
My Starting XI
======
De Gea
AWB Varane Shaw Malacia
Fred Martinez Eriksen
Fernandes Rashford Garnacho
==============
Yes Martinez nimemsogeza mbele..@Darmian
1. Ina maana Martinez unamsogeza mbele kwenye kiungo? Sio beki tena?
2. Mpango mzuri lakini kocha anampenda sana Antony ataanza tu kwa namna yoyote badala ya Garnacho
3. Weghorst nadhani pia lazima aanze.
Yes Martinez nimemsogeza mbele..
Werghost speed hana na game ya leo ambayo hatutamiliki mpira itakuwa uongo yeye kuanza..Werghost atakuwa mzuri kwa lesser teams ambazo most of the time tutamiliki mpira.
Utapeli huuWale wanaotaka mikeka niwaunge kweny group langu la kubashiri 99"% win weka namb hpo