D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Timu nzima ya Arsenal ina wachezaji wanne wenye akili na maarifa ya mpira.Katika kikosi kizima cha arsenal,namuogopa Saka kuliko huyo Odegard wao.
- Zinchenko - sielewe sababu za guardiola kumuondoa huyu kijana
- Thomas partey
- Odegaard
- Bukayo saka
- Martinelli