Kwakweli mm mwenyewe shabiki la Liverpool naomba Arsenal mbebe hili kombeMkuu Sema mabingwa arsenal tu, mbona simple tu
Nauza sumu za PANYA, unataka??Ndugu zangu nasikitika kuwambia kuwa ugonjwa mlonao siwakupona 2nd half habari yenu inaisha.
Mkuu najua leo washika mtutu mlikuwa upande wetuMkitumwa mnafanya kazi nzuri, good job.
Naombeni pongezi zangu kwa kuwatakia ushindi na mmenitendea haki.Man Utd msiniangushe leo nawatakia kisasi cha maana dhidi ya Man City hata 1 - 0 tu, kila la heri Wakulungwa
Trust in processHuyu Makame mbona haileweki huyu, mara ya pili hii anakosa goli