Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,617
- 4,142
Mkuu najua leo washika mtutu mlikuwa upande wetuMkitumwa mnafanya kazi nzuri, good job.![]()

Mkuu najua leo washika mtutu mlikuwa upande wetuMkitumwa mnafanya kazi nzuri, good job.![]()

Naombeni pongezi zangu kwa kuwatakia ushindi na mmenitendea haki.Man Utd msiniangushe leo nawatakia kisasi cha maana dhidi ya Man City hata 1 - 0 tu, kila la heri Wakulungwa![]()


Trust in processHuyu Makame mbona haileweki huyu, mara ya pili hii anakosa goli
Arsenal atanipa pointi 6 msimu huuERA COME TO AN END
Title race is on
Up Next: AsaniWali
Tunawangojea emirates stadium, leo man u mmefanya la maana sana kumfunga cityHata Arsenal tulimchapa hivi hivi
Chutama tu Mzee Baba na ukome kupenda penda kushabikia timu za Watoto "Mwa-City" ...Mnakuwaga kama mandonga

Yeah yeahKwakweli mm mwenyewe shabiki la Liverpool naomba Arsenal mbebe hili kombe


Tutawachapa tena, nyie tutawaachia mmliki mpira kama falsafa yenu ila kipigo lazima kiwe upande wenuTunawangojea emirates stadium, leo man u mmefanya la maana sana kumfunga city
Najua mashabiki wengi wanaona mbio za UBINGWA zipo Kati ya timu MBILI ARSENAL na MAN City hata baadhi ya mashabiki wenzetu humu wanafikiria hvyo,
Ila kwa upande wangu naona hata sisi TUNA NAFASI YA KUCHUKUA UBINGWA MSIMU HUU....
Na mwanga utaanza kuonekana juma linaloanza ambapo tutacheza na MAN City pamoja na PALACE hapo j5...
Endapo tutashinda hzo mechi mbili tutakuwa tunamkaribia kwa ukaribu zaidi na anaeongoza ligi ambaye ni ARSENAL ambaye nae anakibarua kigumu dhidi ya mpinzani wake TOTTENHAM,
Na akitoka na Tottenham anakutana na sisi...
Patamu hapo!!!
#GGMU

Trust in process
Hifadhi maneno yako mkuu, ile gemu ya kwanza ni bahati tu.Tutawachapa tena, nyie tutawaachia mmliki mpira kama falsafa yenu ila kipigo lazima kiwe upande wenu
Na hapa ndipo tunapojifunza kituHata Arsenal tulimchapa hivi hivi