Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Wapendwa mashabiki wa chama kubwa manchester united, huo👆 ndio msimamo wa ligi msimu huu, napia si hivyo tu Hadi carabao,FA na Europe huyo mwamba hapo juu namba 1 bado anashiriki, na msimu huu mechi 8 mfululizo unbeaten and still more suplise to come for the red devil's👍
1673707565888.png
 
[emoji34]What a win,,,

[emoji34]Tulizihitaji hizi point tatu at any cost, iwe kwa ubakaji, uporaji, wizi ama kwa soka Safi !

[emoji34]Bado hatuchezi vzr kwa timu zinazoposses mfano city, but muhimu points !

[emoji34]Huyu Casemiro Kama tulimuiba, anadeliver sana,,,he was almost everywhere, haaland anajua shughuli yake !

[emoji34]Nimependa varane alivyocheza, Bruno spirit iko juu Sana utadhan timu ya baba yake,,,,

[emoji34]Fred alitumwa atembee na kdb , hivi kwa city hii first half hawana on target ? Miujiza !

[emoji34]Shaw hakua na game nzuri Sana nadhan Ni kwa position alioicheza, imagine licha angekuwa na match fitness acheze, shaw amwage Moto kule pemben,,,,

[emoji34]Game ilokuwa inaniwazisha Ni hii, always arsenal Ni wachumba! Bring them !

[emoji34]Rashyyyy doing Rashyyyy things


#GGMU
 
First goal ni offside clear marefa wa EPL ni tatizo kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ushindi wetu wa leo umewauma sana Arsenyani kuliko hata hao kina Mwasiti wenyewe.
Kesho Spurs wana jambo lao, nawahakikishia hamchomoki pale Tottenham Hotspur Stadium halafu jumamosi ijayo mtatembelewa na wanaume wa shoka.
 
[emoji34]What a win,,,


[emoji34]Bado hatuchezi vzr kwa timu zinazoposses mfano city, but muhimu points !

[emoji34]Huyu Casemiro Kama tulimuiba, anadeliver sana,,,he was almost everywhere, haaland anajua shughuli yake !


#GGMU
Counter attacking football ni falsafa ya Man United. Nafikiri katika makocha wa United ni Van Gaal pekee ndiye alikuwa anakuwa na timu yenye kuwa na possession sana.

Casemiro nilimwambia mtu siku ile tumepigwa 6-3 na Shitty, kwamba akizoea ligi atatusaidia sana.
 
Uzuri nyie wenyewe mnakiri huu mpira wenu arsenal atawaua nyingi
Wakati mwingine mpira hutegemea na winning mentality ambayo Man Utd walikuwa nayo hivi karibuni kwa kushinda mechi 5 mfululizo, pia mpira bahati wala si ubora wa ku-possess, kushambulia na kuzuia tu.

Mi ni mshabiki wa Chelsea na watakia ubingwa Arsenal Fans lakini muwe na akiba za maneno...[emoji143]
 
Back
Top Bottom