Ebu kuwa na heshima usitufananishe na Man u please sisi tunaweza tukafunga 1 lakini ukuta wetu hauguswiMsisajiri CF na wenzenu Chelsea muone joto ya jiwe
Na kiungo mbaki na MCFRED
Hi timu hata akija FDJ bado mtapigika , RB hewa, Degea aki presiwa tu anatetemeka,