img_1_1649584026601.jpg

miaka 3 iliopita tulifungwa magoli 4 na everton, wachezaji 9 waliokuwepo kwenye kikosi kile pia walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza jana. Ujinga nao ni kipaji. fuentte
 
Wewe muda wakumuomba Mungu kikombe cha Madrid kikuepuke uko kupiga makelele humu umeomba saa ngapi kikombe kikuepuke.View attachment 2182493
Huyu mwamba katuwakilisha vyema sisi wanna wa Chelsea ni wanna wa Mungu, Sasa ninyi kunguni munajiita sijui red Devo halafu munategemea kupata matokeo mazuri kama sisi watoto wa Mungu Chelsea..hahaha mutakaa sana 😂😂🤣
 
View attachment 2182574
miaka 3 iliopita tulifungwa magoli 4 na everton, wachezaji 9 waliokuwepo kwenye kikosi kile pia walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza jana. Ujinga nao ni kipaji. fuentte
Huenda wachezaji wengi sana wa United wamechoka kuchezea timu hivyo wanahitaji kuondoka.

Ole aliondoa deadwoods wengi sana lakini wakati huo msimu wake wa 2020/2021 alitakiwa kufanya signings za maana zaidi ya kusajili watoto na wachezaji ambao hawakuongeza chochote kikosini zaidi ya kuongeza orodha ya wakaaji wa benchi.

Inashangaza sana timu ilisajili Pellistri na Kile kitoto cha Ivory coast na wote hakuna anayeanza kikosini, Allex Telles na Cavani ni kama ndiyo wanasubiri release letters.

Varane tumeongoza mzigo katika kituo cha Afya cha Carrington.

Rebuild ya Ole haikuwa rebuild at all.
 
Kazi ya kocha mpya akija kwanza ni kupiga panga wachezaji
MOU alichekwa lakini tatizo la MAN U ni tangu kipindi cha MOU. Akina POGBA na Co wanataka kujifanya miungu hapo Old Traford. wasipofyekwa kama Arsenal walipomfeka Auba timu ikatulia
Kuna wacheza by nature wasiporidhika wanamwaga sumu dressing room na kuondoa morale na team work spirit kwa wachezaji na hiovyo kuwa chanzo cha uchezaji mbaya

Hii iko wazi, nimewafuatilia wacheza wa Manure uwanjuani utafikiri wanasindikiza maarusi, mwendo wa poler hawapress wala hawatengenezi nafsi na hata zikitengenezwa kama konokono

Sura ngeni tu ndizo zitakazoiponya hii timu angalau klwa plan za msimu ujao
 
Kwann Maguire hafanyi kazi yake..Kwa hiyo anaongoza wapumbavu??
 
namuona pochettino ndani ya manchester united huku ralf rangnick akiachia ngazi nafasi ya ushauri nasaha. Nimewaza muda huu, ngoja niendelee kufuatilia hii sinema ya ten hag. Ikiwa klabu itakubaliana na matakwa ya ten hag naamini ndani ya madirisha mawili atajenga timu yenye muelekeo kwa kuwaondoa kwanza watoto wa bosi, kinyume na hapo namuona "ndio mzee" mwengine ndani ya klabu.
 
Back
Top Bottom