Kwani, hilo jambo ni muhimu sana?.Wazee kesho mapema...Tuanze kuiombea Manchester United kwa sir God
😂😂😂😂😂Na ubovu wa Everton,Utashangaa hili li timu linashindwa kupata matokeo JUMAMOSI,wakati Kila mtuu kajipigia![]()
kwa fegi sina shaka yupo ndo mana fletcher kala shavuKama hatumpi clear plan na strategies za uhakika sio za kipuuzi ambazo zimekua zikifanyika kwa miaka ya hivi karibuni, kukaa unawasikiliza akili zilzochoka zenye mawazo ya miaka 70 iliyopita kama akina fergie na genge lake, wamiliki wasiokua na pesa, uchu na mafanikio ya timu, unategemea nini?
Hata upangaji wa timu naamin kabisa ni wa shinikizo kutoka kwa akina fergie ( uingereza dna bulsht), kwa mtu anayecheza utumbo mavi kunuka kama magwaya still bado anapangwa na bila aibu unampa na ucaptain, unategemea nini kama sio cristiano avunje simu za mashabiki na de gea kuonekana akimhamaki magwaya kwa upumbavu anaoufanya..kuna shida kubwa ndani..narudia kusema, hii timu tukipata wamiliki wengine serious tena waarabu wenye pesa zao na kuvunja structure nzima na kuunda upya, kuondoa wachezaji MATAKATAKA MIZIGO WANAOKULA NA KUNYA TU BURE ndio tutaanza kuona neema ya makombe makubwa kama EPL na UEFA..tofaut na hapo tutaendelea hivi kwa miaka 10 ijayo
Huyu jamaa wamuze tuu maana anatukeraDe gea " to be sincere maguire remains the toughest opponent i've ever faced "![]()
Fala wewe..Ndo mpunguze midomo sasa, kenge nyie
Itakuwa aliwafundisha mpira wa mchangani siyo hii profeshno football😀😀🤣Mechi anazo takiwa ashindee ana poteza point,Usishangae akapata draw na Norwich.
Rangnick siyo kocha ni Kashasha ambae ni mjerumani.
Eti kawafundisha Klopp na Tuchel.Tusubiri tuone,SI atakutana nao
wanafunzi wake
Ukisikia shetwaani ndiyo huyu Sasa😂😂😂😂 ..anakwambia endesha gari spidi uwezi para ajali, ukipata anakucheka hahaha, eti wampe miaka minne huyu gengeni style..😳😳😳Rangnick angepewa miaka 4, kuijenga team
Huku kubadilisha makocha ndio kunaipoteza nyumbu mazima
Maana akija huyo Ten hang mjue tuanza na moja,
Alafu cv ya rangnick ni kubwa kuliko huyo kilaza mnaempigia kelele hapa
Kufungwa goal moja na Everton ni jinsi gani hampo vibaya sana
Injiniyaaaa soomaaa iyoooo😂😂😂🤣🤣leo mun anashinda zaidi ya goli 3
Maake apo ncheke kwanza 😂😂😂😂😂Muda wa kukalia ukuni umefika. Sasa Mama Ester United wanaenda kukalia ukuni wa Eva Tony.
Hahahahahaha woooyowooyowooyooo wazee wa mijegeje tumerudishwa kwa Kasi ya duma na vijana wa lampard, apa ni mwendo was kuwasagia kunguni TULeo inatakiwa tushinde ili OllaChuga Oc aendelee kujificha huko huko kwa rikiboy
Jaza nafasi iloachwa waziMwezi kama huu 2019 walitufunga 4 - 0 ilikuwa game ya 15:30 siziamini kabisa early kick off.
Leo ushindi ni lazima.
Kosi la walevi on the stage😭😭😭😭Kosi la dunia on the stage.View attachment 2181521
Ewalaa . Tuna furaa ya ajabu ..Yani ayielezeki Yani😂😂😂😂😂Leo dunia nzima inafuraha