Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23] watu wamechoka nimecheka sana watupe timu tucheze wenyewe.
IMG_20220409_190030.jpg
 
Sijapata kupata hasira japo nimefunga swaum ramadha,nilifanyakazi Kuni control
 
Rangnick angepewa miaka 4, kuijenga team

Huku kubadilisha makocha ndio kunaipoteza nyumbu mazima

Maana akija huyo Ten hang mjue tuanza na moja,
Alafu cv ya rangnick ni kubwa kuliko huyo kilaza mnaempigia kelele hapa

Kufungwa goal moja na Everton ni jinsi gani hampo vibaya sana
Mechi anazo takiwa ashindee ana poteza point,Usishangae akapata draw na Norwich [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Rangnick siyo kocha ni Kashasha ambae ni mjerumani.

Eti kawafundisha Klopp na Tuchel [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Tusubiri tuone,SI atakutana nao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wanafunzi wake
 
I remember wakati Ragnick anakuja Manchester United alipewa sifa lukuki nazikumbuka 2

1)Mzee wa Pressing Dunia itajua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2)Mwalimu Mkuu wa Tuchel na Klopp [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hivii wachezaji ndo wanapelekewa lawama[emoji1787][emoji1787] wakati sifa alizo kuwa anapewa mpaka kuwa contender wa UCL[emoji13][emoji13][emoji13] si mchezo
 
Hivi pale Manchester United kuna madaktari wa Afya ya Akili kweli!? Mbona baadhi ya wachezaji wanaonekana kabisa wamepagawa/kuchanganyikiwa na akili na hawapewi huduma husika. Captain ni mhanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom