Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

baada ya norwich na unavyopenda utani unaweza kumbetia manchester united.
Nani atanisaidia... solsicher aliwapanga watoto wa academy graduates, tulishinda shida mechi ngumu wakati alivyoanza kama mnakumbuka.. tulijipigia PSG,an city Hawa piga, ...ni nini kilimfanya aaache Ile mbinu ya kuwachanganya watoto.. nisaidieni jawabu
 
Angekuwa ole ,mngeenda anfield mna matumaini ila Kwa huyu kengeni pressing ....andaeni kapu la magoli ....Hana mbinu , hajui kufunga Wala kujilinda ....


Msubili Ronaldo miracle
 
Wazee naombeni tuache drama....tuanze kuiombea man United me nahic ni laana coz sioni wa kumlaumu
 
Wazee naombeni tuache drama....tuanze kuiombea man United me nahic ni laana coz sioni wa kumlaumu
Mnajiita mashetani alaf mnaomba nini sasa , ondoeni Hilo jina , jitakaseni ndo muombe sasa na Mungu wa Mbinguni atawatakabali🤗
 
20220410_121210.jpg
 
Back
Top Bottom