Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mimi nashauri game ijayo na majogoo tusiingie uwanjani, wapewe point zao tu jamani.







Mimi nashauri game ijayo na majogoo tusiingie uwanjani, wapewe point zao tu jamani.







Mkuu man u hata aje Guardiola, utasema siyo kocha pia.Fred kapata injury.
Lakini ukweli usemwe.Rangnick siyo kocha. Ni motivational speaker aise.
Mbona imesemwa ni tactical substitution?
Kuhusu kutokua kocha nimesema tangu zamani.
Huyu ni sawa na umpe timu Kashasha (RIP)
Nilisema wamiliki ni MAKANJANJA. hawahitajiki kabisa na hawana maana kuwepo hapo. Waanze nao, wakitoka hao, waondoke wapumbavu akina "fegi" na genge lake, watakaofatia ni machezaji mizigo na magoigoi.






wachezaji wa everton walikimbia km10 zaidi ya wachezaji wa manchester united.
Kila nikiifikiria hii match, kuna haja ya kutokuwa na bundle hii siku dah, kwa pira lile majogoo wamecheza na man city, naziona 3 kipindi cha kwanza kama tukicheza huu ujinga tunacheza kila siku..Mimi nashauri game ijayo na majogoo tusiingie uwanjani, wapewe point zao tu jamani.
Kila nikiifikiria hii match, kuna haja ya kutokuwa na bundle hii siku dah, kwa pira lile majogoo wamecheza na man city, naziona 3 kipindi cha kwanza kama tukicheza huu ujinga tunacheza kila siku..





Hakiyanani man u mnanichekeshaHizo tatu unazosemea mkuu, ni kama Mzee mzima Klopp ataingiwa na HURUMA KUU ya KIMUNGU aachie hapo hapo kwenye 3 kwa sifuri.






Hii ndiyo itakuwa mechi ya kwanza nitafurahia matokeo yoyote yale kwenye hii mechi.Kila nikiifikiria hii match, kuna haja ya kutokuwa na bundle hii siku dah, kwa pira lile majogoo wamecheza na man city, naziona 3 kipindi cha kwanza kama tukicheza huu ujinga tunacheza kila siku..
they're far better than us, nitashangalia kufeli kwao popote pale kwasababu hakuna cha kushangilia kwenye timu yangu.Kwaio mmeamua mniachie hili jukwaa mwenyewe, njooni hapa, si kila siku mnasema kwamba tuna uwezo kwamba timu ni tishio, njoon mseme ukweli kua hatuna uwezo kwa sasa. Msikimbie. Au kama vipi Boss kubwa Maxence Melo afunge jukwaa hili, alifungue baada ya miaka mitano.





Hivi unadhani mnaweza kutufunga mkuu?Hii ndiyo itakuwa mechi ya kwanza nitafurahia matokeo yoyote yale kwenye hii mechi.
Tukifungwa nitafurahi kwasababu nguvu wanayowekeza wale viazi pale OT hawastahili kushiriki any European football competition next season.
Waki-draw au wakishinda United nitafurahi sana kwasababu LFC wasipobeba PL tutakuwa sehemu ya kushindwa kwaothey're far better than us, nitashangalia kufeli kwao popote pale kwasababu hakuna cha kushangilia kwenye timu yangu.

Man United have reached an agreement in principle with Erik ten Hag to become their manager, Shughuli ipo huko ManchesterBREAKINGMan United have reached an agreement in principle with Erik ten Hag to become their manager, View attachment 2185312
Sent using Jamii Forums mobile app





Ngoja niende kwa Romano.BREAKINGMan United have reached an agreement in principle with Erik ten Hag to become their manager, View attachment 2185312
Sent using Jamii Forums mobile app