Elanga ana ruka ruka TU.Na dribbling zisizo za msingii Wala faida yoyote.Mara mia Elanga unamuona hata kwenye kukaba, kuna Greenwood kule huyu dogo amekutwa na nini mbona kawa flop hivi?
Mbona kimya humu ndani nyie nyumbu???
KOSI LA DUNIA hamjalipost au hamchezi leo?
Sisi kule Arsenal tunaujua mpira bhana!Brentford katoka kushonwa atakuja huku anaogopa. United katoka kusuluhu anakuja huku anataka kufufua matumaini ya top 4 kwakua viporo vilishakua siyo ishu.
Ralf bado anafanyia majaribio formations zake wakati Brentford tayari iko established katika 3 5 2 so natarajia mpira wa kueleweka uchezwe sana na Brentford as wataovercrowd mid.
Timu zote mbili zina finishers wazuri ila united ina shaky defense so cha kwanza kukipoteza ni clean sheet. Game itakua ya moto naprefer Brentford ashinde ili kunipunguzia wagombea top four
Sijaona pasi hata 1 aliyopiga Greenwood ya maana.. hata kukaba anakimbilia pembeni na mpira kapoteza yeye, bora Elanga utasema hana experience kiihivyo Greenwood wenzie kina Foden, Saka wanasogea tu, anaruka ruka tu.. kazi anayo RR kwa hii squadElanga ana ruka ruka TU.Na dribbling zisizo za msingii Wala faida yoyote.
Greenwood kidogo anapunguze Ile rate ya kushambuliwa Kwa timu na kupeleka mashambulizi mbele.
Mbona kimya humu ndani nyie nyumbu???
KOSI LA DUNIA hamjalipost au hamchezi leo?
Kocha katupa kule maingereza, yuko mmoja tu, huyu Ralf sidhani kama waingereza watamvumilia, anaanza kuonesha rangi yake kwamba hawakubali waingereza. Alafu kitu nikikuwa cjui ni kwamba Elanga co muingereza bali ni mswedish.Bora zee magwaya limepigwa bechi mpaka akili ilikae sawa pambafu.View attachment 2088537
Tano zitoke wapi.Leo vipi chama letu, tunapiga mtu 5?
Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Man U hatuna shut on target hata moja.timu inacheza kama imekatwa vichwa, yani akili hakuna kabisa
Yote hiyo ni formation ya kocha.Greenwood wa ole ni tofauti na Greenwood wa RR.hata Ww Unaona.Sijaona pasi hata 1 aliyopiga Greenwood ya maana.. hata kukaba anakimbilia pembeni na mpira kapoteza yeye, bora Elanga utasema hana experience kiihivyo Greenwood wenzie kina Foden, Saka wanasogea tu, anaruka ruka tu.. kazi anayo RR kwa hii squad
Naona tunarudi kwa Ole mdogo mdogo, kazi ipoYote hiyo ni formation ya kocha.Greenwood wa ole ni tofauti na Greenwood wa RR.hata Ww Unaona.
Half time:Man utd Hana short on target.Brenford ana short on target 3
Timu imezidiwa,kinachofanya timu iwe na ball possession kubwa ni back passes nyingi na ndo maana timu Haina hata short on target Moja.Sijaona pasi hata 1 aliyopiga Greenwood ya maana.. hata kukaba anakimbilia pembeni na mpira kapoteza yeye, bora Elanga utasema hana experience kiihivyo Greenwood wenzie kina Foden, Saka wanasogea tu, anaruka ruka tu.. kazi anayo RR kwa hii squad
Mzee, nmesema Greenwood kama mfano, ukitoa De Gea humo ndani hakuna mchezaji anafanya lolote la maanaTimu imezidiwa,kinachofanya timu iwe na ball possession kubwa ni back passes nyingi na ndo maana timu Haina hata short on target Moja.
Sasa utaanzaje kumuona Greenwood Kwa kiwango hicho?
De gea anaonekana Kwa sababu timu inashambuliwa na wapinzani wanapiga mashutii.Mzee, nmesema Greenwood kama mfano, ukitoa De Gea humo ndani hakuna mchezaji anafanya lolote la maana