Brentford katoka kushonwa atakuja huku anaogopa. United katoka kusuluhu anakuja huku anataka kufufua matumaini ya top 4 kwakua viporo vilishakua siyo ishu.

Ralf bado anafanyia majaribio formations zake wakati Brentford tayari iko established katika 3 5 2 so natarajia mpira wa kueleweka uchezwe sana na Brentford as wataovercrowd mid.

Timu zote mbili zina finishers wazuri ila united ina shaky defense so cha kwanza kukipoteza ni clean sheet. Game itakua ya moto naprefer Brentford ashinde ili kunipunguzia wagombea top four
 
Unaota weye amka.
 
hii timu inawatu wanamaamuzi ya kishamba sana newcastle wanamtaka lingard wao wanakomaa na lingard wala hachezi ss sijui wanambakisha wa nini
Donny kamuambia Ralf inabidi unipe namba au nitoe kwa mkopo kwakua nahitaji kucheza kombe la dunia.

Ralf kamjibu hamtoi kwa mkopo na namba itabidi asubirie. Just imagine phil jones kashacheza dk nyingi kuliko Donny
 
Back
Top Bottom