Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Prediction of how #mufc's 2022/23 home shirt will look. A source says it's more than 90% accurate to the official adidas design
View attachment 2088064
Jezi kali baada ya kipindi kirefu, hawa Adidas ni kwasababu wanatoa offer kubwa tu ila Nike miaka ya karibuni wapo vizuri zaidi yao. Adidas anampatiaga Arsenal tu.
 
One player Rangnick recommended that should be looked at closely is Wolves defender Max Kilman
1642597911719.png
 
hii timu inawatu wanamaamuzi ya kishamba sana newcastle wanamtaka lingard wao wanakomaa na lingard wala hachezi ss sijui wanambakisha wa nini
Shida inakuja kwamba cku hz kumekuwa na upumbavu flani hivii yn man u akitaka mchezaji anapigwa bei kali hata kama ni mchezaji wa kawaida, lkn man u anapotaka kuuza wanataka wapewe kwa mkopo na mshahara tulipe cc, na hata huyo mchezaji aki perform vzr huko alipo kwa mkopo tukitaka kuwauzia wanataka kutoa pesa wanayotaka wao, huu ni umama wa kiwango cha chupa ya pepsi, wacha wabaki au waondoke bure kuliko huu ufalamanga tunaofanyiwa.
 
Back
Top Bottom