Brentford katoka kushonwa atakuja huku anaogopa. United katoka kusuluhu anakuja huku anataka kufufua matumaini ya top 4 kwakua viporo vilishakua siyo ishu.

Ralf bado anafanyia majaribio formations zake wakati Brentford tayari iko established katika 3 5 2 so natarajia mpira wa kueleweka uchezwe sana na Brentford as wataovercrowd mid.

Timu zote mbili zina finishers wazuri ila united ina shaky defense so cha kwanza kukipoteza ni clean sheet. Game itakua ya moto naprefer Brentford ashinde ili kunipunguzia wagombea top four
Sisi kule Arsenal tunaujua mpira bhana!
 
Elanga ana ruka ruka TU.Na dribbling zisizo za msingii Wala faida yoyote.

Greenwood kidogo anapunguze Ile rate ya kushambuliwa Kwa timu na kupeleka mashambulizi mbele.
Sijaona pasi hata 1 aliyopiga Greenwood ya maana.. hata kukaba anakimbilia pembeni na mpira kapoteza yeye, bora Elanga utasema hana experience kiihivyo Greenwood wenzie kina Foden, Saka wanasogea tu, anaruka ruka tu.. kazi anayo RR kwa hii squad
 
Yote hiyo ni formation ya kocha.Greenwood wa ole ni tofauti na Greenwood wa RR.hata Ww Unaona.

Half time:Man utd Hana short on target.Brenford ana short on target 3
 
Sijaona pasi hata 1 aliyopiga Greenwood ya maana.. hata kukaba anakimbilia pembeni na mpira kapoteza yeye, bora Elanga utasema hana experience kiihivyo Greenwood wenzie kina Foden, Saka wanasogea tu, anaruka ruka tu.. kazi anayo RR kwa hii squad
Timu imezidiwa,kinachofanya timu iwe na ball possession kubwa ni back passes nyingi na ndo maana timu Haina hata short on target Moja.

Sasa utaanzaje kumuona Greenwood Kwa kiwango hicho?
 
Mzee, nmesema Greenwood kama mfano, ukitoa De Gea humo ndani hakuna mchezaji anafanya lolote la maana
 
De gea anaonekana Kwa sababu timu inashambuliwa na wapinzani wanapiga mashutii.

Timu ingekuwa inashambulia,de gea asinge kuwa anaonekana na wachezaji wa ndani NDIO wangekuwa wakionekana wanapiga kazi.
 
168 Reactions
Reply
Back
Top Bottom