fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,537
- 7,136
Ten Hag mkuuUnataka kocha yupi above Valverde au Poch ?
Ten Hag mkuuUnataka kocha yupi above Valverde au Poch ?
Juventus ipii,Hii inayo pigwa na parma? sassuolo.Seria A Iko nafasi ya 15???Hapana mkuu. Sisi tuangalie ya miaka mitano ijayo lakini sio sasa. Chelsea hii iliyomchakaza Juventus?
Munamchagua Sana Ten hag Kwa Sababu ya kufanya vizuri ajax, Ligi ambayo Hana mpinzaniz miaka kibao anachukua makombe uholanzi,Akiwa uefa anaonekana kufanya vizuri mwanzoni TU lakini next stage hafiki kokoteee.ViPi akifika Epl Ligi ngumu ku compete na makocha wenye majina ligi isiyo na Xmas mashindano kibao.Mimi naona Ten Hag kwa sasa ni better option kuliko Poch
Naona klabu macho yao yapo hapo kwa hao wawili
Kwanini??Ten HagTen Hag mkuu
Hiyo ndiyo concern yangu kuwa pengine anafanya vizuri sababu pale Ajax ana dominate yeye tuMunamchagua Sana Ten hag Kwa Sababu ya kufanya vizuri ajax, Ligi ambayo Hana mpinzaniz miaka kibao anachukua makombe uholanzi,Akiwa uefa anaonekana kufanya vizuri mwanzoni TU lakini next stage hafiki kokoteee.ViPi akifika Epl Ligi ngumu ku compete na makocha wenye majina ligi isiyo na Xmas mashindano kibao.
Anajua anacho fanya Akiwa uholanzi lakini anapo kutana na mabingwa Huwa hafui dafu,Vipi Akiwa england ambako yeyote anakukalisha, ukijumulisha na wingi wa makocha bora kina conte,pep,Tuchel,klopp.Atafua dafuu?? Ukiongeza na pressure ya mashabiki,wandishi wa habarii Bila kusahau ma legend,Itakuaje??Hiyo ndiyo concern yangu kuwa pengine anafanya vizuri sababu pale Ajax ana dominate yeye tu
Lakini Ten Hag pia kafanya vizuri Ulaya, kwenye Europa na Champions League
Pia soka inalocheza timu yake linaeleweka ni soka la aina gani, inaonesha kocha anajua anachofanya
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Kwanza nimesema amefanya vizuri Champions League na Europa League ambako hapo wapo vigogo wote wa ulaya unaowajua wewe. Na hili amelifanya akiwa Ajax timu unayoamini ni mbovu lakini inabebwa tu na udhaifu wa ligi yaoAnajua anacho fanya Akiwa uholanzi lakini anapo kutana na mabingwa Huwa hafui dafu,Vipi Akiwa england ambako yeyote anakukalisha, ukijumulisha na wingi wa makocha bora kina conte,pep,Tuchel,klopp.Atafua dafuu?? Ukiongeza na pressure ya mashabiki,wandishi wa habarii Bila kusahau ma legend,Itakuaje??
ungeliweka Mfano wa huyo coach anayepatikana kwa sasa.United hawawezi mchukua poch wa kawaida sana, lazima atatafutwa kocha wa kubattle na elite coaches kama pep/klopp.
Nimejudge kuhusu Erik Kwa Sababu ya kuona anapigiwa promo Sana,Kiasi Kwamba anatabiriwa akitua united atafanya makubwaa na hii inatokana na Timu yake aliyo nayo Sasa kufanya vizuri kipindi hiki,Ndo maNa nikasema kuhusu Ligi aliyopo,Timu yake ikiwa kwenye mashindano ya uefa na Ligi anayo fanyiwa upatu.Kuhusu kocha ninae wish atue united ni kocha yeyote TUU kikubwa ajue anafundisha timu gani,Timu inahitaji Nini na kujua Timu inataka kufika wapi kisoka,basi.Mengine hayo ni ya ziada TU...Kwanza nimesema amefanya vizuri Champions League na Europa League ambako hapo wapo vigogo wote wa ulaya unaowajua wewe. Na hili amelifanya akiwa Ajax timu unayoamini ni mbovu lakini inabebwa tu na udhaifu wa ligi yao
Pili unaona timu yake inavyocheza, hata ukiulizwa jamaa anacheza style gani ya mpira unaweza sema... Tofauti na ilivyokuwa kwa Ole (kwa mfano)
Tatu kwa maelezo yako juu, unamaanisha hakuna kocha atakayeweza kazi ya kupambana na akina Pep na Klop, kitu ambacho si kweli ... Kwa kauli yako ni kama unasema timu isiteue kocha, ibaki bila hivyo hivyo
Kwa kauli yako ni kama unasema kocha akitoka ligi nyingine hawezi kufanya vizuri kwenye ligi kubwa Ulaya, Unajua Johan Cruyff alitoka ligi gani? Unajua Jose Mourinho alitoka ligi gani? unajua Ferguson alitoka ligi gani? Unajua Julian Nagelsman alipotoka?
Embu tuambie wewe mkuu, ungependa kocha awe nani na kwa sababu gani?
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
taarifa zinadai wapo makocha watano wanaofanyiwa mahojiano, wengineo ni lucien favre na paulo fonsecaMpaka sahizi nafikiri hawa wanaotajwa kama interim ni watu bora sana....
i)Ernesto varverde
ii)Ralf Rangnick
iii)Rudi garcia
Ernesto ververde alitwaa la liga mara 2, kombe la ligi pia....alifukuzwa january 2020 kwasababu ya matoke9 ya champions league back to back alipoteza kwa liverpool na roma the following season....
Umesharudi mtani wangu, kuna siku nilikuona kwenye space ya kigogo.Carrick apewe timu bonge la kocha aisee
Ungekuwa na kocha mbadala tungeweza pia kujadili uwezo wake na mapungufu yakeNimejudge kuhusu Erik Kwa Sababu ya kuona anapigiwa promo Sana,Kiasi Kwamba anatabiriwa akitua united atafanya makubwaa na hii inatokana na Timu yake aliyo nayo Sasa kufanya vizuri kipindi hiki,Ndo maNa nikasema kuhusu Ligi aliyopo,Timu yake ikiwa kwenye mashindano ya uefa na Ligi anayo fanyiwa upatu.Kuhusu kocha ninae wish atue united ni kocha yeyote TUU kikubwa ajue anafundisha timu gani,Timu inahitaji Nini na kujua Timu inataka kufika wapi kisoka,basi.Mengine hayo ni ya ziada TU...
Je tulikuwa na uwezo wa kumtoa PSG? Je tuna uwezo wa kumtoa mchezaji yoyote tegemeo pale PSGWakati tunahangaishana na leicester city juu ya bei ya harry maguire hivi marquinhos alikuwa bado hajazaliwa?
Wote hawa ni kwa ajili ya caretaking au moja kwa mojataarifa zinadai wapo makocha watano wanaofanyiwa mahojiano, wengineo ni lucien favre na paulo fonseca
nafasi ya muda lakini naamini watahukumiwa baadae kwa mujibu wa kazi yao watakayoifanikisha.Wote hawa ni kwa ajili ya caretaking au moja kwa moja
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Isije ikajirudia Ole situation, hiyo ndio hofu yangunafasi ya muda lakini naamini watahukumiwa baadae kwa mujibu wa kazi yao watakayoifanikisha.
Aligoma kutua Man UTD akaamua kutua psgWakati tunahangaishana na leicester city juu ya bei ya harry maguire hivi marquinhos alikuwa bado hajazaliwa?
Sijapinga bali nimejiuliza tuUngekuwa na kocha mbadala tungeweza pia kujadili uwezo wake na mapungufu yake
Vinginevyo utakuwa unapinga tu pasipokutoa solution
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app