Sio influence ya Fergie imepungua?Its look like Glazers wameamka
Kwa nini wasimpe Ralf permanent contract?Kama ni kweli Ralf amepewa pia 2yrs za consultancy basi Mortough anafanya kazi nzuri na naadhani Summer tutapata kocha mzuri tu.
Bring On.
GGMU
Nafikiri suala la umri maana jamaa anamiaka 63Kwa nini wasimpe Ralf permanent contract?
Raniel anamiaka mingapi?Nafikiri suala la umri maana jamaa anamiaka 63
Who is this Mr. Manager?
Ngoja nifuatilie mechi a ajax weekend hiiErik ten Hag
(Ajax)
NA ndo Maana kinatamba uholanzi TU,Na sio kwenye mashindano mengineAjax wana kikosi kizuri kushinda hiki cha United?..
Kama kocha anajua akija England akipewa kikosi chetu England atasumbua na Ulaya atakuwa bora tofauti na alivyokuwa na Ajax..that's for sure.
Next summer ni kusajili Proper DM,RB,No.9..then we a good to go.
Aisee hapa sijajua ni sababu.Kwa nini wasimpe Ralf permanent contract?
Fatilia 16 bora uefaa,Huko uholanzi utamuona King,Kwa Sababu Yuko na wanyongeNgoja nifuatilie mechi a ajax weekend hii
Director of football yupo..anaitwa Mortough sidhani kama ata-stepdown..nadhani atafanya kazi na Ralf Rangnick kwa ukaribu sana kwa hiyo miaka miwili so nadhani mambo yataenda vizuri tu.Ralf anafaa sana kilichobaki ni kusecure deal na kocha wa ajax afu ralf anakuwa director wa football
Saw lazima uishi kwa matarajia mkuu ila kuna wakati si kila tarajio lako lina kwenda sawNi muda wa kuangalia mpira huku beer zikishuka taratibuuu..sio kukunja uso kama tumelazimishwa..
That's my over expectation.
Bro sawa ila TUCHEL Kacheza UCL Mbili mfululizo na timu mbili tofauti but Ragnack yye sijajua mafanikio yake mkuu ila tumpe muda ila man u wa sasa si wa mwaka 90 ya ferg ajipange na hiv above 60 hatariIla mashabiki wa man u tunavurugu sana....hii comment imenichekesha sanaView attachment 2023393