Munamchagua Sana Ten hag Kwa Sababu ya kufanya vizuri ajax, Ligi ambayo Hana mpinzaniz miaka kibao anachukua makombe uholanzi,Akiwa uefa anaonekana kufanya vizuri mwanzoni TU lakini next stage hafiki kokoteee.ViPi akifika Epl Ligi ngumu ku compete na makocha wenye majina ligi isiyo na Xmas mashindano kibao.
Ubora wa kocha angalia the idea behind & winning probability, kuangalia anafundisha ligi gani ni kutumia wrong variables, Ten hag can destroy teams.
 
Erik Ten Hag ni kocha pekee binafsi ninaye taraji atue MU,kwann
1. Amejitanabaisha aina yake ya kandanda yenye mbinu, malengo.
2. Ameshacheza na kuzifunga timu kubwa na makocha wakubwa, mfano Juve, BvB etc
3. Timu aliyonayo sasa haitofautiani saana na Man U yetu, kiuchezaji
4. Mpira wa Ajax utahamia Man U, na itachagizwa na Class ya wachezaji wa United

Kuna baadhi ya watu wanasema n kocha asie na uzoefu wa ligi ngumu, mbona JK alipotoka BVB walisema hana uzoefu ?! na mbona Sasa anafanya vizuri.

Binafsi makocha wanaoweza kuja United ni,
1. Erik Ten Hag wa Ajax.
2. R Martinez wa Ubelgiji.(japo amedumu sana kumpata)
3. Steve Bruce wa Newcastle UTD.
Asikudanganye mtu, hakuna kitu kisicho na Bei katika dunia hii, Cha msingi wapewe mkataba wenye mashrti nafuu kwa msimu huu, ambao alikwisha uharibu mmasai.

Glory Glory Man Utd.❤️❤️
 
Nimeikuta Wikipedia.
Screenshot_20211125-182551_cropped.jpg
 
Anajua anacho fanya Akiwa uholanzi lakini anapo kutana na mabingwa Huwa hafui dafu,Vipi Akiwa england ambako yeyote anakukalisha, ukijumulisha na wingi wa makocha bora kina conte,pep,Tuchel,klopp.Atafua dafuu?? Ukiongeza na pressure ya mashabiki,wandishi wa habarii Bila kusahau ma legend,Itakuaje??
Ajax wana kikosi kizuri kushinda hiki cha United?..

Kama kocha anajua akija England akipewa kikosi chetu England atasumbua na Ulaya atakuwa bora tofauti na alivyokuwa na Ajax..that's for sure.

Next summer ni kusajili Proper DM,RB,No.9..then we a good to go.
 
Anajua anacho fanya Akiwa uholanzi lakini anapo kutana na mabingwa Huwa hafui dafu,Vipi Akiwa england ambako yeyote anakukalisha, ukijumulisha na wingi wa makocha bora kina conte,pep,Tuchel,klopp.Atafua dafuu?? Ukiongeza na pressure ya mashabiki,wandishi wa habarii Bila kusahau ma legend,Itakuaje??
Kutobos Epl inahitaji akili mipango
 
Back
Top Bottom