List ya kijinga kabisa kuwahi kuishuhudia, man u mpaka iuzwe ndio itabadilika, ina watu wa hovyo huko juu hawajui lolote kuhusu mpiraManchester United Legends with Coaching Licences.
1. Steve Bruce
2. Mark Hughes
3. Paul Ince
4. Garry Neville
5. Michael Carrick
6. Jap Stam
7. Roy Keane
8. Phil Neville
9. Patrice Evra
10. Nick But
11. Ole Gunar Solkjaer
12. Wayne Rooney
13. Diego Forlan
14. Mike Phelan
Katika orodha hiyo amekosekana hata legend mmoja wa kuvaa viatu vya Ole ?
Endeleeni tu kuwaamini hawa makocha wa team ndogo kwa kudhani Man U ni ya majaribio, imemtoa jasho Mou na historia yake ya vikombe mnakuja kuwawaza hawa kina Bruce, Chelsea akishinda jumapili tunakuwa wa 13 kwenye ligi, tupo hapa mdogo mdogoIla Steve Bruce ni underrated manager kwenye epl lakini timu zake nyingi huwa ni strong teams
Wake up man ...it's another dayMafala tu nyie mna timu gani ya kuitishia Manchester United!
Ndiyo Chelshit mpo on form na United timu yangu inasuasua ila mnatu-underrate sana, I know the odds are against us ila tunakuja kuwapiga mbupu hapohapo darajani.
Msitarajie kuona makosa mengi tuliyofanya against LFC na MCFC. Najua pale nyuma mna mwamba wa kunasa mipira lakini haitazuia Chelshit ku-concede at least goli moja, who knows it could be a winner!!! Siku hiyo itakuwa hakuna blunder za Maguire. Natarajia Carras aje na mfumo ambao hautaruhusu wingback zenu kupanda sana maana ukitoa wingback zenu hakuna offensive player anayefurukuta. Defensively mpo vizuri show ya Kante tunaijua, center back zenu tunajua ni ukuta mgumu, wingback zenu tunajua shughuli yao offensively ila mark my words "WE WILL TEAR YOU APART"
Maiti imeanza kupiga chafyaMafala tu nyie mna timu gani ya kuitishia Manchester United!
Ndiyo Chelshit mpo on form na United timu yangu inasuasua ila mnatu-underrate sana, I know the odds are against us ila tunakuja kuwapiga mbupu hapohapo darajani.
Msitarajie kuona makosa mengi tuliyofanya against LFC na MCFC. Najua pale nyuma mna mwamba wa kunasa mipira lakini haitazuia Chelshit ku-concede at least goli moja, who knows it could be a winner!!! Siku hiyo itakuwa hakuna blunder za Maguire. Natarajia Carras aje na mfumo ambao hautaruhusu wingback zenu kupanda sana maana ukitoa wingback zenu hakuna offensive player anayefurukuta. Defensively mpo vizuri show ya Kante tunaijua, center back zenu tunajua ni ukuta mgumu, wingback zenu tunajua shughuli yao offensively ila mark my words "WE WILL TEAR YOU APART"
Bruno ana kosa gani jamaniHaka ka Bruno kaache mambo ya kijinga..kamekuwa hovyo kwa muda mrefu tu..kukaa benchi kwake alistahili.
Na hili ni fundisho kuwa inabidi uipambanie namba sio kuridhika tu na kuanza kucheza kifaza
Chelsea ana nini cha ziada?Anaongea vitu ambavyo haviwezekani yani
Umfunge Chelsea
Frankly speaking Bruno anajua ila recently amekuwa kawaida sana..sasa hali ya kujikuta undroppable na kuanza kununa kisa umewekwa benchi kwenye game moja mimi ndo sijaipenda.Bruno ana kosa gani jamani
Mimi nahisi ilikuwa ni tactical strategy ya Bruno kuanzia nje
Kwa Ulaya bado sijaona wa kumuweka Bruno benchi kwenye anayocheza
Jana tu kaingia kipindi cha pili ame create nafasi 4 za wazi
Kiukweli hicho kitu siku ki noticeFrankly speaking Bruno anajua ila recently amekuwa kawaida sana..sasa hali ya kujikuta undroppable na kuanza kununa kisa umewekwa benchi kwenye game moja mimi ndo sijaipenda.
Si uliona hata hakufurahia kivile ile assist aliyompa Sancho?
Alinikera sana jana ukizingatia na hali timu inayopitia,inabidi wachezaji waje pamoja wawe kitu kimoja..mtu unatoa assist na Sancho anafunga goli lake la kwanza ambalo amelisubiria kwa muda mrefu sana(you can feel the vibe) lakini hata bashasha kidogo hamna kisa tu umeanzia benchi..ujinga mtupu.Kiukweli hicho kitu siku ki notice
Kama ni hivyo basi alizingua, huo ni ubinafsiAlinikera sana jana ukizingatia na hali timu inayopitia,inabidi wachezaji waje pamoja wawe kitu kimoja..mtu unatoa assist na Sancho anafunga goli lake la kwanza ambalo amelisubiria kwa muda mrefu sana(you can feel the vibe) lakini hata bashasha kidogo hamna kisa tu umeanzia benchi..ujinga mtupu.
Uwezo wa Bruno hamna mtu anaweza kuupinga..he's most creative player kikosini kwetu na pia hata kidunia lazima awe juu kileleni na mafundi wengine.
Permanent coach inabidi aje na awe mkali sana and at the same time social pia.
Yah man.Tumchukue Diego Simeon wa Atletico, biashara hiishe.
Tuwavumilie, Wareno ndivyo walivyo, ni "wazaramo" wa ulaya.Kama ni hivyo basi alizingua, huo ni ubinafsi
Mimi ni Yanga, nakumbuka kuna ujinga alifanyaga Saidoo mpaka leo sijamsamehe kwa asilimia zote ... Mambo ya kujiona mkubwa kuliko timu
we jamaa aiseeTuwavumilie, Wareno ndivyo walivyo, ni "wazaramo" wa ulaya.
Sasa mbona kelele nyingi kwenye uzi wetu kama na wewe unaona kuna haja ya kusubiri JumapiliTusubiri jpilii tuone Cha ziada