Mpaka sahizi nafikiri hawa wanaotajwa kama interim ni watu bora sana....
i)Ernesto varverde
ii)Ralf Rangnick
iii)Rudi garcia
Ernesto ververde alitwaa la liga mara 2, kombe la ligi pia....alifukuzwa january 2020 kwasababu ya matoke9 ya champions league back to back alipoteza kwa liverpool na roma the following season....
Rangnick mzuri kwenye uandaaji wa mipango bora ya timu ataistructure timu vizuri kuanz8a uchezaji hadi management jinsi ya kusajili
Rudi garcia alikuwa kocha bora sana akiwa Roma....Roma walikuwa wa moto sana ajabu msimu wake wa mwisho wqchezaji waliperform chini sana vipigo vikazidi hadi akafukuzwa...