Vipi hawakukuangushaSimba msiniangushe
Mm ndio captain wangu huyo daahhh.Umemuweka kwenye fantasy?
Na Edouard Mendy unamuweka wapi?
Nilikosa usingiziVipi hawakukuangusha
Huyu striker nilikuwa simpendi kinoma..Ila hawa villa walishatusumbua sana toka enzi ya gabriel agbonlahor daah
Pole mkuu, ile ndiyo Yanga mpya.Nilikosa usingizi
alikua balaa mno huyu hata benteke haoni ndaniHuyu striker nilikuwa simpendi kinoma..
Bwege wewe yanga mpya kwa simba si ndio ila wale wanaigeria yanga ya zamaniPole mkuu, ile ndiyo Yanga mpya.
Wale c walileta figisu tu alafu kingine timu yetu tukishazoeana moto utawakaBwege wewe yanga mpya kwa simba si ndio ila wale wanaigeria yanga ya zamani
Pipa na mfuniko pale ila mmoja akamuwahi mwenzie na mpira ukaishia hapoWale c walileta figisu tu alafu kingine timu yetu tukishazoeana moto utawaka
Nzuri.
Nani mwandishi wa hii?
Jana alikuwa talkSPORT katamka wazi wazi ule mchezo tulifungwa kwa ubovu wa kocha na sio sbb nyingine yoyote ile. Akashauri nafasi yake ichukuliwe na Conte au Zidane. Na akatolea mfano kuwa MUFC kwa sasa ipo ktk kipindi cha Lampard v Chelsea to Tuchel switch.Ila hawa villa walishatusumbua sana toka enzi ya gabriel agbonlahor daah