Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Moja ya statement ya kipuuzi kuwahi kutokea katika soka ni hii ya kwamba "Messi ana kipaji cha kuzaliwa ila Ronaldo hana kipaji cha soka."

Huwa sipendagi kabisa kuingia kwenye mijadala ya Messi na Ronaldo nani mkali maana huwa haina mantiki. Unaamini Messi ni mkali sawa, unaamini Ronaldo ni mkali pia uko sawa baki na unachoamini kwanini ulete vitu ili mmoja umuweke juu na mmoja awe chini.

Elewa kwanza neno 'kipaji' / 'talent' lina maana gani.

Cku zotee ataendelea kuwa chini ya Messi. Messi ni mmoja tu dunianii,,,, Messiii ni kipaji cha kuzariwa.
 
Bora tumefungwa, me binafsi nataka tupoteze hata mechi tano zijazo Ili angalau baadhi ya watu wafunguke akili kuwa hatuna kocha.

Nimeangalia fixture ya October, nikaangalia na mpira tunaopiga nimejiridhisha kwamba ninalolitaka litatimia, ni swala la muda tu.
 
Cku zotee ataendelea kuwa chini ya Messi. Messi ni mmoja tu dunianii,,,, Messiii ni kipaji cha kuzariwa.
Uzuri wa mchezaji ni statistics, wacha mahaba yako kwa Messi
Messi ni mchezaji mzuri ila unampamba kama bibi arusi wako
 
Ewalaa bora yamepigwa tena.?
Kama Aston Villa wanakuzibua hapo hapo kwako na una kosi la dunia basi hali yenu ni mbaya sana.
Na sisi mashabiki kindaki ndaki tunasema In Ole We Trust.
 
Cku zotee ataendelea kuwa chini ya Messi. Messi ni mmoja tu dunianii,,,, Messiii ni kipaji cha kuzariwa.
Messi kama forward unatakiwa umtetee kwa takwimu kama hizi
  1. Big trophies won
  2. Goal scored
  3. Assist provided
  4. Awards obtained
Jadili kwa kubase hizi data

Naamini Messi ni mshindi kwenye namba 1, 3 na 4
Ronaldo kwenye 2 tu
RonaldoMessi
Big trophies won2734
Goal scored783 748
Goal per game0.720.8
Assist provided226300
Awards
Ballon d'Or56
 
Back
Top Bottom