Kila baada ya mechi maneno ya Ole ni tutarudi tumeimarika zaidi,kwanini asiimarike baada ya mechi 1-2 kama wengine?
 
January msajili DM mzuri, msipofanya hivyo msiwalaumu akina Pogba, Bruno wala Ronaldo
Mmejitakia wenyewe kwa kumtegemea Matic
 
Wale c walileta figisu tu alafu kingine timu yetu tukishazoeana moto utawaka
Pipa na mfuniko pale ila mmoja akamuwahi mwenzie na mpira ukaishia hapo

Huu mwaka wa tano kila msimu mnafukuza kumi na kusajili kumi msimu ukiisha wale mababu mliowasajili mtawafukuza tena....
 
Ila hawa villa walishatusumbua sana toka enzi ya gabriel agbonlahor daah
Jana alikuwa talkSPORT katamka wazi wazi ule mchezo tulifungwa kwa ubovu wa kocha na sio sbb nyingine yoyote ile. Akashauri nafasi yake ichukuliwe na Conte au Zidane. Na akatolea mfano kuwa MUFC kwa sasa ipo ktk kipindi cha Lampard v Chelsea to Tuchel switch.

Udhaifu wa Ole jana aliweka mambo mawili;
  1. Alimuingiza Ed cavani mchezaji asiye na match fitness muda unaohitaji kupata matokeo wakati alikuwa na Jesse Lingard na Jadon Sancho hawa wote walikuwa ktk competitive tempo compared to Ed ambaye hajacheza mchezo wowote ule wa ushindani msimu huu. It was a technical blunder.
  2. Harry Maguire alicheza kwa dakika 10 akiwa anachechemea. Anasema kocha anajielewa hawezi kumuacha uwanjani mchezaji ambaye hayuko sawa. Hapa ni kama timu inacheza pungufu.
 
Alia na maamuzi ya VAR
PSX_20210926_192940.jpg
 
Back
Top Bottom