Siungi mkono juhudi za watu kutaka ole aondoke,kiufupi ni wivu tu na fitina .Kila mwanadamu anakosea apewe muda ni world class coach ,sisi washabiki wa team tofauti mapepo mekundu tunamuunga mkono Ole
Anafaa Sana pale unyumbuni kabisa mkuu
 
Sikia nikwambie kitu , football sio majina tu and tactics tu ,....!

Villareal hawapaki Basi ,wanazuia pamoja ,wanapanda kushambulia pamoja !!

Villareal wakiwa hawana mpira wanarudi nyuma as a team ,na wakipata wanashambulia ,ndio maana wanascore and difficult kufungua ukuta wao ...

Kama ronaldo , Sancho,Bruno sijui Pogba Kama hawatajituma siku hiyo ,kukimbia ,kukaba ,kushambulia ,kuzuia at high energy my friend you will be fuvked out hapo hapo OT ...

Last game against young boys ,ronaldo ,Bruno ,walikuwa hawakabi ,na hawajui kukaba ,that why aliwatoa ,Pogba tu ndio anajitahid kunyanganya mpira waliobaki ni hatari wakiwa na mpira tu ...
Sawa.
 
Manchester United wamekuwa na mazungumzo mazuri na kiungo wa kati wa Ureno Bruno Fernandes tangu mwezi Julai. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 anataka kusalia Old Trafford na kandarasi yake inachukuliwa na umuhimu mkubwa pamoja na kiungo wa kati Paul Pogba, 28.
 
United ilitaka kufanya mazungumzo ya makubaliano na Napoli ili kumsajili nahodha wa Senegal Kalidou Koulibaly, 30, msimu ujao lakini hawakuwa tayari kukubali thamani ya mchezaji huyo kama inavyodaiwa na klabu hiyo ya Serie A ya £34m kumnunua beki huyo wa kati.
 
Hahahahah! Leo umemuita Ole PE teacher, humtetei tena?

Binafsi zile sub mimi naona alijikoroga mwenyewe ila pamoja na threat ya Ronaldo kule mbele bado Young Boys walitupigia mpira safi tu ni kwasababu yetu ya kukaa nyuma. Goli la kwanza ni uzembe wa timu nzima wakiongozwa na kocha wao kucheza kwa kujilinda, tukawapa nafasi ya wao kuvuka mstari bila wasiwasi kwasababu kule mbele alibaki mtu mmoja waliyemdhibiti na wale jamaa angebaki mule wangemuumiza walianza kumchezea hovyo hata akiwa hana mpira.

Ronaldo alitoka uwanjani Young Boys wamesawazisha, kama nilivyosema Ronaldo kubaki peke yake mbele ilikuwa siyo msaada watu walisham-mark. Ole alichofeli ni kucheza kwa kujilinda na kuwatoa wachezaji muhimu kuliwapa nguvu zaidi Young Boys kuzidi ku-press.

Yote kwa yote Young Boys wamempa Ole wake up call, inabidi akaze na awe na plan B za uhakika, Ole ni kama hakujiandaa kucheza na wachezaji pungufu. Sub ya Ronaldo na Bruno pia ilikuwa muhimu kwa mchezo wetu wa weekend, mimi naamini kufuzu ni suala la muda tu ila ligi ni muhimu kwasababu tuna-compete na the best for a long season while UCL at early stages msimu huu tupo group jepesi.
wake up call ? OLE? hahaha okay
 
Shida ilianzia hapa,yaani hamfikiriwi kabisa kama na nyie washindani.
FB_IMG_16316465924530427.jpg
 
Timu ilikuwa ina Shaw,Lindelof na Maguire so kocha alikuwa anaweza switch to back 3 kumtoa Sancho ilikuwa sawa I think alipaswa kumuacha VDB kuongeza nguvu midfield sababu tulikuwa na 3 luxury players(CR7,Bruno & Pogba) ambao sio wakabaji
Second half Young Boys walidominate katikati walikuwa wanacheza against Fred .Hakukuwa na sababu ya kuingiza mabeki 2 (Dalot & Varane) angemwacha VDB au amuingize Matic kuongeza nguvu katikati
muambie ole vyote ila sio kubadili formation
 
Back
Top Bottom