LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 296
- 261
Kwahiyo hio ndo excuse ya kuwafunga nyie!?Young boys kwenye ligi yao ni timu ambayo inatawala ni kama Madrid Spain au bayern German au Simba na Yanga kwa Tz.
Kwahiyo hio ndo excuse ya kuwafunga nyie!?Young boys kwenye ligi yao ni timu ambayo inatawala ni kama Madrid Spain au bayern German au Simba na Yanga kwa Tz.
NdiyoKwahiyo hio ndo excuse ya kuwafunga nyie!?
Wewe c ulisema Man u imepewa group jepesi!! Now unabadilisha? Wewe co wa kupewa attention hata kidogo huwa una ndimi nyingi.
Nami nimeshangaa sanaAtalanta na Villarreal ni group jepesi? Haupo serious mkuu. ..mwanzo lilionekana jepesi lakini saivi mjipange sana.
Hiyo timu sio kwamba ina pengo, Ina uwazi mkubwa sana benchi la ufundi. OGS hatoshi.Wakuu... Bila kiungo aina ya Scot Parker au yohane Cabaye kweli tutatoboa? Juzi tu hapa tumemuuza felaini mpaka leo pengo lake hatujafanikiwa kuziba.
Wakuu... Bila kiungo aina ya Scot Parker au yohane Cabaye kweli tutatoboa? Juzi tu hapa tumemuuza felaini mpaka leo pengo lake hatujafanikiwa kuziba.






SawaWe kweli nzi.
We Kama young boys wamekufunga asa unategemea utashinda game gani!?



Sijui watu huwa wanatoaga wapi ujasiri wa kumtetea Ole.Hiyo timu sio kwamba ina pengo, Ina uwazi mkubwa sana benchi la ufundi. OGS hatoshi.