Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahah! Leo umemuita Ole PE teacher, humtetei tena?

Binafsi zile sub mimi naona alijikoroga mwenyewe ila pamoja na threat ya Ronaldo kule mbele bado Young Boys walitupigia mpira safi tu ni kwasababu yetu ya kukaa nyuma. Goli la kwanza ni uzembe wa timu nzima wakiongozwa na kocha wao kucheza kwa kujilinda, tukawapa nafasi ya wao kuvuka mstari bila wasiwasi kwasababu kule mbele alibaki mtu mmoja waliyemdhibiti na wale jamaa angebaki mule wangemuumiza walianza kumchezea hovyo hata akiwa hana mpira.

Ronaldo alitoka uwanjani Young Boys wamesawazisha, kama nilivyosema Ronaldo kubaki peke yake mbele ilikuwa siyo msaada watu walisham-mark. Ole alichofeli ni kucheza kwa kujilinda na kuwatoa wachezaji muhimu kuliwapa nguvu zaidi Young Boys kuzidi ku-press.

Yote kwa yote Young Boys wamempa Ole wake up call, inabidi akaze na awe na plan B za uhakika, Ole ni kama hakujiandaa kucheza na wachezaji pungufu. Sub ya Ronaldo na Bruno pia ilikuwa muhimu kwa mchezo wetu wa weekend, mimi naamini kufuzu ni suala la muda tu ila ligi ni muhimu kwasababu tuna-compete na the best for a long season while UCL at early stages msimu huu tupo group jepesi.
Nimeishia hapo "group jepesi "

inaonekana huwa unaangakia mpira LiveScore ...

Pole sana
 
Siungi mkono juhudi za watu kutaka ole aondoke,kiufupi ni wivu tu na fitina .Kila mwanadamu anakosea apewe muda ni world class coach ,sisi washabiki wa team tofauti mapepo mekundu tunamuunga mkono Ole
 
Kenge wewe
 
Unakatwa na ndugai
 
Nani angecheza fullback ya kulia ?
Timu ilikuwa ina Shaw,Lindelof na Maguire so kocha alikuwa anaweza switch to back 3 kumtoa Sancho ilikuwa sawa I think alipaswa kumuacha VDB kuongeza nguvu midfield sababu tulikuwa na 3 luxury players(CR7,Bruno & Pogba) ambao sio wakabaji
Second half Young Boys walidominate katikati walikuwa wanacheza against Fred .Hakukuwa na sababu ya kuingiza mabeki 2 (Dalot & Varane) angemwacha VDB au amuingize Matic kuongeza nguvu katikati
 
Hahahahah! Leo umemuita Ole PE teacher, humtetei tena?

Binafsi zile sub mimi naona alijikoroga mwenyewe ila pamoja na threat ya Ronaldo kule mbele bado Young Boys walitupigia mpira safi tu ni kwasababu yetu ya kukaa nyuma. Goli la kwanza ni uzembe wa timu nzima wakiongozwa na kocha wao kucheza kwa kujilinda, tukawapa nafasi ya wao kuvuka mstari bila wasiwasi kwasababu kule mbele alibaki mtu mmoja waliyemdhibiti na wale jamaa angebaki mule wangemuumiza walianza kumchezea hovyo hata akiwa hana mpira.

Ronaldo alitoka uwanjani Young Boys wamesawazisha, kama nilivyosema Ronaldo kubaki peke yake mbele ilikuwa siyo msaada watu walisham-mark. Ole alichofeli ni kucheza kwa kujilinda na kuwatoa wachezaji muhimu kuliwapa nguvu zaidi Young Boys kuzidi ku-press.

Yote kwa yote Young Boys wamempa Ole wake up call, inabidi akaze na awe na plan B za uhakika, Ole ni kama hakujiandaa kucheza na wachezaji pungufu. Sub ya Ronaldo na Bruno pia ilikuwa muhimu kwa mchezo wetu wa weekend, mimi naamini kufuzu ni suala la muda tu ila ligi ni muhimu kwasababu tuna-compete na the best for a long season while UCL at early stages msimu huu tupo group jepesi.
Mechi ile kifupi Ole aliwathibitishia wakosoaji wake kuwa hawakosei kumuita PE teacher.

Una kila silaha ndani ya uwanja na nje ya uwanja katoka mtu mmoja ambaye hakupi advantage yoyote kwenye kushambulia zaidi ya ulinzi tu kwanini asingebadili formation uwanjani ?

Yawezekana alikuwa sahihi kumtoa Ronaldo kwakuhofia kuumizwa au kuwa marked je ilikuwa sahihi kumtoa Ronaldo unamwingiza Lingard na Martial ????? Katika kipindi ambacho game haiko upande wako ?.
 
Nimeishia hapo "group jepesi "

inaonekana huwa unaangakia mpira LiveScore ...

Pole sana
In fact, mechi ya mwisho ya Villarreal niliangalia wakicheza na Atletico Madrid. Hao Villarreal unaowasifia ni weak team kutoka nyuma hadi mbele. Kilichowafanya wapate droo game ya Atletico ni makosa ya Atletico yanayojirudia defensively na Atletico kuwa forced kumtoa Suarez kitu kilichopelekea Atletico kuwa weak katika ushambuliaji. Lemar na Carrasco walikosa nafasi nyingi sana. Pamoja na kuongoza 1 - 2 Atletico wali-press jamaa wakajifunga dk ya 90.

Kuwafunga Villarreal ni ku-press tu dk 90. Tutahitaji kiungo mmoja arudi chini kucheza kama RCB ili kuwaruhusu Dalot na Shaw kupanda. Ronaldo akisimama juu, Sancho na Greenwood (akianza) wanaingia ndani zaidi huku Bruno akijiunga na safu ya ushambuliaji juu zaidi itawafanya Villarreal kurudi nyuma ku-cover space (hapa ndiyo mechi inapokuwa ngumu na rahisi kwa United) Pogba atapata nafasi kubwa zaidi kucheza, lakini Bruno atakabwa zaidi na viungo watakaolazimishwa kucheza deep, last time Rashford alikuwa hatembei sana, upande wake tulikosa mtu creative. Sancho ataongeza kitu endapo atakula mbavu ya kushoto, game ya Newcastle alicheza vizuri sana.

Champions League VARANE akibaki nyuma na Maguire huku kiungo mmoja akicheza RCB, forward wa Villarreal watakuwa hawana threat zaidi.

Villarreal beki zao za katikati zipo vizuri ila kwa pressing ya Ronaldo joined with Sancho na Greenwood itakuwa ni suala la muda tu.
 
Mkuu unavoongea ni Kama vile unacheza PS ,football sio nyepesi kiasi hicho ,ni wanaume 11 vs wanaume 11 uwanjan .......

Umeangalia game ya psg vs club brugge ,mess ,Neymar ,mbappe wote ndani ,unajua nini kilitokea ..,.

Kuna watu waliopiga hesabu za kwenye karatasi Kama wewe hapo lakin unajua nini kilitokea

Mimi nakwambia hivi ,kwa mtu anayeangalia mpira hawezi ongea hivo ,CL no weak team ,hakuna mnyonge you have to respect the opponent ,villareal wkija vizur na mbinu wanampiga man utd hapo hapo OT no matter what ronaldo ,Sancho ,cavan ,Bruno hata Kama wapoo ...vile vile man utd akiwa na mbinu nzur atamfunga villareal ,the issue is "tactics "

Kumbe mara ya mwisho umeangalia mpria atm vs villareal,?

Endeleaa kuangalia mpira LiveScore tuu
 
Kama vile Chelsea alivyo kumanga

Mpira kwa kila timu unaanzia kwenye makaratasi, Unai ni bingwa wa kupaki basi. Mara ya mwisho alipaki basi na ndiyo mbinu zake, ndiyo maana nikasema United wakicheza hivi mechi itakuwa rahisi pia ngumu.

Unai hataingia na mbinu zaidi ya kujilinda na hakuna njia United watashinda kirahisi bila kucheza na full backs. Kama Unai ataingia kama mwanaume (kama Pep anavyoingiaga against United) ulimwengu utashuhudia nini kitatokea.
Screenshot_20210916-105238_WhatsApp.jpg
 
Mkuu unavoongea ni Kama vile unacheza PS ,football sio nyepesi kiasi hicho ,ni wanaume 11 vs wanaume 11 uwanjan .......

Umeangalia game ya psg vs club brugge ,mess ,Neymar ,mbappe wote ndani ,unajua nini kilitokea ..,.

Kuna watu waliopiga hesabu za kwenye karatasi Kama wewe hapo lakin unajua nini kilitokea

Mimi nakwambia hivi ,kwa mtu anayeangalia mpira hawezi ongea hivo ,CL no weak team ,hakuna mnyonge you have to respect the opponent ,villareal wkija vizur na mbinu wanampiga man utd hapo hapo OT no matter what ronaldo ,Sancho ,cavan ,Bruno hata Kama wapoo ...vile vile man utd akiwa na mbinu nzur atamfunga villareal ,the issue is "tactics "

Kumbe mara ya mwisho umeangalia mpria atm vs villareal,?

Endeleaa kuangalia mpira LiveScore tuu
"Mechi ya mwisho ya Villarreal" siyo mechi ya mwisho kuangalia. Yani unataka nikae chini week in week out nawaangalia Villarreal? Hiyo kazi ni ya Ole na opponents wake.
 
Mpira kwa kila timu unaanzia kwenye makaratasi, Unai ni bingwa wa kupaki basi. Mara ya mwisho alipaki basi na ndiyo mbinu zake, ndiyo maana nikasema United wakicheza hivi mechi itakuwa rahisi pia ngumu.

Unai hataingia na mbinu zaidi ya kujilinda na hakuna njia United watashinda kirahisi bila kucheza na full backs. Kama Unai ataingia kama mwanaume (kama Pep anavyoingiaga against United) ulimwengu utashuhudia nini kitatokea.View attachment 1940054
Sikia nikwambie kitu , football sio majina tu and tactics tu ,....!

Villareal hawapaki Basi ,wanazuia pamoja ,wanapanda kushambulia pamoja !!

Villareal wakiwa hawana mpira wanarudi nyuma as a team ,na wakipata wanashambulia ,ndio maana wanascore and difficult kufungua ukuta wao ...

Kama ronaldo , Sancho,Bruno sijui Pogba Kama hawatajituma siku hiyo ,kukimbia ,kukaba ,kushambulia ,kuzuia at high energy my friend you will be fuvked out hapo hapo OT ...

Last game against young boys ,ronaldo ,Bruno ,walikuwa hawakabi ,na hawajui kukaba ,that why aliwatoa ,Pogba tu ndio anajitahid kunyanganya mpira waliobaki ni hatari wakiwa na mpira tu ...
 
Hahahahah! Leo umemuita Ole PE teacher, humtetei tena?

Binafsi zile sub mimi naona alijikoroga mwenyewe ila pamoja na threat ya Ronaldo kule mbele bado Young Boys walitupigia mpira safi tu ni kwasababu yetu ya kukaa nyuma. Goli la kwanza ni uzembe wa timu nzima wakiongozwa na kocha wao kucheza kwa kujilinda, tukawapa nafasi ya wao kuvuka mstari bila wasiwasi kwasababu kule mbele alibaki mtu mmoja waliyemdhibiti na wale jamaa angebaki mule wangemuumiza walianza kumchezea hovyo hata akiwa hana mpira.

Ronaldo alitoka uwanjani Young Boys wamesawazisha, kama nilivyosema Ronaldo kubaki peke yake mbele ilikuwa siyo msaada watu walisham-mark. Ole alichofeli ni kucheza kwa kujilinda na kuwatoa wachezaji muhimu kuliwapa nguvu zaidi Young Boys kuzidi ku-press.

Yote kwa yote Young Boys wamempa Ole wake up call, inabidi akaze na awe na plan B za uhakika, Ole ni kama hakujiandaa kucheza na wachezaji pungufu. Sub ya Ronaldo na Bruno pia ilikuwa muhimu kwa mchezo wetu wa weekend, mimi naamini kufuzu ni suala la muda tu ila ligi ni muhimu kwasababu tuna-compete na the best for a long season while UCL at early stages msimu huu tupo group jepesi.
Group jepesi eh?

Unadhani Atalanta na Villareal ni kama Norwich na Fulham eh??
 
In fact, mechi ya mwisho ya Villarreal niliangalia wakicheza na Atletico Madrid. Hao Villarreal unaowasifia ni weak team kutoka nyuma hadi mbele. Kilichowafanya wapate droo game ya Atletico ni makosa ya Atletico yanayojirudia defensively na Atletico kuwa forced kumtoa Suarez kitu kilichopelekea Atletico kuwa weak katika ushambuliaji. Lemar na Carrasco walikosa nafasi nyingi sana. Pamoja na kuongoza 1 - 2 Atletico wali-press jamaa wakajifunga dk ya 90.

Kuwafunga Villarreal ni ku-press tu dk 90. Tutahitaji kiungo mmoja arudi chini kucheza kama RCB ili kuwaruhusu Dalot na Shaw kupanda. Ronaldo akisimama juu, Sancho na Greenwood (akianza) wanaingia ndani zaidi huku Bruno akijiunga na safu ya ushambuliaji juu zaidi itawafanya Villarreal kurudi nyuma ku-cover space (hapa ndiyo mechi inapokuwa ngumu na rahisi kwa United) Pogba atapata nafasi kubwa zaidi kucheza, lakini Bruno atakabwa zaidi na viungo watakaolazimishwa kucheza deep, last time Rashford alikuwa hatembei sana, upande wake tulikosa mtu creative. Sancho ataongeza kitu endapo atakula mbavu ya kushoto, game ya Newcastle alicheza vizuri sana.

Champions League VARANE akibaki nyuma na Maguire huku kiungo mmoja akicheza RCB, forward wa Villarreal watakuwa hawana threat zaidi.

Villarreal beki zao za katikati zipo vizuri ila kwa pressing ya Ronaldo joined with Sancho na Greenwood itakuwa ni suala la muda tu.
Unataja tu majina. Ndugu zako PSG jana meweka full mziki ila Wameishia kutoa sare na club brugge.
 
Back
Top Bottom