Sikia nikwambie kitu , football sio majina tu and tactics tu ,....!
Villareal hawapaki Basi ,wanazuia pamoja ,wanapanda kushambulia pamoja !!
Villareal wakiwa hawana mpira wanarudi nyuma as a team ,na wakipata wanashambulia ,ndio maana wanascore and difficult kufungua ukuta wao ...
Kama ronaldo , Sancho,Bruno sijui Pogba Kama hawatajituma siku hiyo ,kukimbia ,kukaba ,kushambulia ,kuzuia at high energy my friend you will be fuvked out hapo hapo OT ...
Last game against young boys ,ronaldo ,Bruno ,walikuwa hawakabi ,na hawajui kukaba ,that why aliwatoa ,Pogba tu ndio anajitahid kunyanganya mpira waliobaki ni hatari wakiwa na mpira tu ...